
Wajanja wanasema itakuwa ni SHOW ya kufa mtu!...itakayofanyika FLORIDA pale MASAKI tarehe 20/1/2010 kuanzia saa mbili usiku (8.00PM), mpaka saa saba usiku(1:00AM). Pata nafasi ya kumuona msanii mrembo, mahiri wa bongo flava Nuru the light akitumbuiza...
Bila kusahau ataperform ule wimbo wake wa "Walimwengu" ni wazuri ukiwa na mali, mali ikiisha watu wote uwaoni:), "Msela" n.k. kwa hiyo anza kukariri lyrics mapemaaa!!!!
Yes! A MALKIA NIGHT WITH NURU THE LIGHT...
0 maoni / comments:
Post a Comment