Siku moja baada ya Christmas Kanye West, binamu yake Ricky, na mpenzie Amber Rose kama wanavyoonekana pichani wakiwahudumia chakula watu wasio na makazi. Kanye anasema: "It was really humbling and emotional for us. I wanna thank Mari Ronquillo and the LA Mission for allowing me to participate".

Makofi kwa Kanye tafadhali... tah tah tah tah!!!!:)
0 maoni / comments:
Post a Comment