

Hasheem thabeet anasema: "I love my mama, man... Mama is everything you ever wanted. It doesn't matter how rich and success I am, my mom is my number 1 (One)treasure! "

Pichani Mchezaji wa NBA Memphis Grizzlies Hasheem chini akiwa na mdogo wake Akbar Thabeet , wakideka na kumuonyesha upendo (bi mkubwa) mama yao.
PS: Don't miss the GAME tomorrow: Memphis Grizzlies Vs San Antonio Spurs, Jan 29 8:30pm at ET
3 maoni / comments:
We won't miss it.
I Like you bro, and no one is better in this world than MAMA.
MAMA IS NUMBER ONE!!!!
disminder
Duh wamepenza wenyewe. Hasheem kama anataka kunyonya hapo hehehh
Fresh lakini. yaani hivi ndio inatakiwa kumpenda mother wako.
Big up mtu wangu
HALAFU ANATOKEA MWANAMKE UNAFUNGA NAYE NDOA, BAADAYE ANAANZA KUKUCHONGANISHA NA MAMA YAKO AU FAMILIA KILA KONA!!!
HII NI TABIA MBAYA WANAWAKE KUVUNJA FAMILIA ZA WATU.
UKIPENDA BOGA PENDA NA UA LAKE.
MAMA WA MWENZIO NI SAWA NA MAMA YAKO!! NA NDUGU WA MWENZIO NI SAWA NA NDUGU ZAKO!!!
KINACHOTAKIWA NI KUWA MVUMILIVU NA MUWAZI, NA MAPENZI.
HONGERA KAKA, MPENDE MAMA ZAIDI NA ZAIDI, PEPO YAKO IKO CHINI YA NYAYO ZAKE.
disminder
Post a Comment