Uchangishaji pesa wa maafa ya Haiti maafaaendelea. Pichani wadau wa Total Knockout blog tukiwa moja kati ya wageni waalikwa katika tafrija hiyo ya uchangishaji pesa usiku wa jana hapa Hollywood.
Hosted by Jimmy Jean Lois & Hakeem kae-kazim
13
maoni / comments:
Anonymous
said...
Mmmmhh unazidi kuwakera wakaanga sumu. Haya ndiyo mambo mazuri ya kufanya, na Mungu anazidi kukuongezea.
Hahahaha aendelee kuota aendelee kuotaaa. anonymous umenichekesha lol! yani jinsi wanamvyommind TK wa watu utasema amewalia chao Lakini hata wafanye nini TK wewe ni mzuriii!
TK mimi nazitaka hizo nywele angalia email yako nimekuandikia nataka hizo nywele darling
umependeza mupenzi lol! mi subiri nitoee kuhusu hako katumbo a)uliipiga picha ukiwa umeshiba mbwiiii ama b)basi ni soon super size lol hahahah lol! anyway, yote kheri ndugu yangu. smartgirl.
Ooh watu ni washambenga sana na wapenda maneno. Hayo yote si yaliisha mnataka kuanzisha upya. Mnatoka huku mnapeleka kule na Siku wakija kaa meza moja wakaongea mtasuyika sijui mtakimbilia wapi. Mnasahau milima haipatani na haikurali lakini binadamu hukutana.
13 maoni / comments:
Mmmmhh unazidi kuwakera wakaanga sumu. Haya ndiyo mambo mazuri ya kufanya, na Mungu anazidi kukuongezea.
Ongeza MAROGOOOOOOOOOO
disminder
hongera tk na wadau mlotuwakilisha toka knockout!! halafu umependeza na smile la kuuwa mtu..
gud job bt mwenzangu 2 much make up yani kwny pic esp ya kwanza utafikiri umevaa mask
Wow!!!You are so beautiful TK. I love your skin tone too.
Naona kitumbo...au ndio kibaby bump??? lol umependeza
OMG TEDDY MY LUV,U LOOK STUNNING AS ALWAYS..CODY IS A LUCKY MAN,AND HE KNOWS IT!!!
SASA TELL WHERE CAN I GET THAT CURLY HAIR,MIMI LOVING IT ...SO SICK
NO 1 FAN
yule BABOON hakupati hata kwa dawa...aendelee kuota tuuu!!!
lol, u kill them teddy
Hahahaha aendelee kuota aendelee kuotaaa. anonymous umenichekesha lol! yani jinsi wanamvyommind TK wa watu utasema amewalia chao
Lakini hata wafanye nini TK wewe ni mzuriii!
TK mimi nazitaka hizo nywele angalia email yako nimekuandikia nataka hizo nywele darling
Please give info about your hair. I luvs it!!Ps: Ur pretty and u seem like a better person than mtu fulani fulani jina naacha kikapuni :P
tk unazidi kung'aa mama,u were born to b a STAR,THATS UNDENIABLE...
sasa basi umemuona nyumbu...?????
NYUMBU NI NYUMBU HATA AKI-PHOTOSHOP..kajitutumua bidada na photoshop lakini wapi, KINYWA PASIPO FUNIKO...HAHAHA
no.1 fan
umependeza mupenzi lol!
mi subiri nitoee kuhusu hako katumbo
a)uliipiga picha ukiwa umeshiba mbwiiii ama
b)basi ni soon super size lol
hahahah lol!
anyway, yote kheri ndugu yangu.
smartgirl.
Ooh watu ni washambenga sana na wapenda maneno. Hayo yote si yaliisha mnataka kuanzisha upya. Mnatoka huku mnapeleka kule na Siku wakija kaa meza moja wakaongea mtasuyika sijui mtakimbilia wapi. Mnasahau milima haipatani na haikurali lakini binadamu hukutana.
Huyu nani tena?lol..
TK umependeza shostisto ebu tupe siri ya urembo wako malikia. Maana wanyima watu usingizi hehe he he
Post a Comment