
Siku kama ya leo Jan'08: Kijana muhumu, mtanashati na anayepandisha chart filamu za Bongo alizaliwa.
"Happy birthday to you, happy birthday to you.
Happy Birthday dear Kanumba aaaaaa, happy Birthday to youuuuuuuu!!!!
Eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!:)"
ps: "pichani akiwa katika sura ya ku'act":)
3 maoni / comments:
Happy birthday KANUMBA, NAKUTAKIA MAISHA MEMA NA MUNGU AWE NA WEWE MILELE DAIMA.
By Juma Jaredi
Jamani TK Jan 08 Au nimesoma vibaya????? All in All happy birthday Kanumba. U know what though i do not like all of our Tanzanian Movie. Man seeing Kanumba in Action is a great experience. "Village pastor" kwa mfano he did a lot of extra ordinary staff kuuvaa wasifu aliokuwa anauigiza. Man We just need more skills in our films setup and offcause increase the budget maana tunavyobailia ndio maana final product inakuwa na mapungufu ya moja kwa moja. I have never being in any professional movie making but this is what i know, KIpande hata kikiwa kidogo namna gani kama kimekosewa the whole set will be repeated to perfect it. We can do that only with good budget
Ahsante kwa mchango wako chief!
Kwanza naomba unitonye wewe ni chief yupi.lol!...totalknockout1@gmail.com maana si unajua chief tuko wengi, chief watafutaji mkwanja hahahaha lol!
Hawa waigizaji wanahitaji wadhamini ili kuboresha kazi yao iwe nzuri zaidi. Chief I think unaweza kuwa mmoja wa wadhamini. U know? So vipi, nikuunganishe kwa jamaa?...Tena I am sure you can be a such great sponsor.
TK
Post a Comment