Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Thursday, January 28, 2010

Haipendezi kugomana na Ray C - Mo Q

Mohamed Chalamila a.k.a 'Moe Q' mmoja wa wasanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye siku za karibuni ametoka kuzindua albam yake ya kwanza na katika kuhakikisha hilo linakwenda kwa mapenzi ya Mungu, anajiweka sawa kumaliza bifu na dada yake, Rehema Chalamila 'Ray C'.

Akiongea na Dar411, Moe Q alisema kuwa amekaa na kufikiri, hivyo akagundua kwamba haipendezi yeye na dada yake kukaa bila kuwa na maelewano. Walikwaruzana vipi!?=> Read more>>>

Source: Dar411

1 maoni / comments:

Anonymous said...

VIZURI SANA.
BIG UP BRO.


disminder

Total Knockout Search!!

Custom Search