Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa burudani toka pande zote, basi utakuwa umesikia mafanikio ya mwigizaji na mwanavichekesho Mo'nique.
Hivi karibuni mambo yamekuwa yakimwendea swaaaafi, ikiwemo kufanikiwa kufanya movie "Precious" iliyomwezesha kupokea tuzo 2 kwa mpigo kutoka Critics Choice na Golden Globe Awards huku akiwa ana Talk show yake mpya BET.
Pichani hivi akipozi kwenye Golden Globe Awards akipozz na mumewe hivi karibuni. Huku akiwa ameinua kidogo gauni lake na unaweza kuona anaonekana kuto'mind vinyweleo hasilia.lol!... "Hivi vitu adim kuviona kwa mwanamke yeyote anayejitunza". I think she is so funny!!!...
7 maoni / comments:
Safi sana dada wa watu hataki tabu,nilishawahi muona kwenye red carpet nyingine akiwa na short dress, ooh my God watu walicomment vibaya mno kuhusu hivyo hivyo vinyweleo naona sasa watachoka na kumuacha aishi apendavyo.Haina maana ukiwa na vinyweleo miguuni au sehemu nyingine basi huwezi onekana mrembo au hujipendi ni mtazamo tu kwani wapo wanovipenda haswa na wapo wanaohangaika hata kwa gharama kubwa kuviondoa, binafsi naona kawaida tu, by the way ndo mtu ulivyoumbwa na kila kilicho mwilini mwako kipo kwasababu maalum. asante
Nimeipenda kwani hata mimi sithubutu kutoa hata siku moja.
Maadamu anafanya ile kitu roho inapenda. HAPO POA TU.
disminder
LOL ILA ANAVYO VINGI KAMA NYANI...ALISAHAU KWENYE FOR WAXING NINI??
She did the toe nails...not the legs hehehehe that was so funny...nasubiri atavaa nini kwenye Oscars
jamani sioni karaha kwa mtu kuwa na vinyweleo vya miguuni kwani kuna wanaume wanaopenda wanawake wao wawe navyo kwani huwa vinaleta nakshi nakshi ndani yamapenzi na ndio maana sio asiliamia kubwa wanaonyoa miguuni.... ila sehemu nyingine ufanye hivyo ni big noooooooo.. i like her she's qt.
LOL! I didn't happen to know this secret..., where was i? Lakini nimependa i don't mind keep it up Mo" gal.
I love big women,call me!
Post a Comment