Wakiwa Luninganini wakifanya kipindi chao E! News, ghafla baada ya kuongelea bikini ya Octomom mtangazaji mwenzake Giuliana DePandi akamchomekea Ryan Seacrest na swali la kizushi, Would you? Ryan: What?
Giuliana: Octomom, I mean would you...?
Ryan akajibu akionekana ku'mind: Oh no Never :(((( lol!!
1 maoni / comments:
TK zamani giuliana hamechange surname yake long time.sio depandi anymore ni rancic.love you pretty girl
Post a Comment