Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Wednesday, January 6, 2010

Check out my "Raha jipe mwenyewe" shots... full kijiachia!


Muah!...




17 maoni / comments:

Anonymous said...

I think you have gained some weight Honestly UMEPENDEZA SANA..wow look hayo mashavu!!!

Bless you

TOTAL KNOCKOUT!!! said...

Hahahahaa! Have I?..lol!
Mume wangu nae agrees with you:)

Bless you more!

Teddy

Anonymous said...

Hi TK, you are looking stuning all the time, i was admiring you since when you was in bongo.... i can recall the moments i see you on a TV program, the day i met you LIVE bila chenga pale Sinza Garrage ya Mjerumani!! unakumbuka!! u use to Service your car pale Garrage!! Keep it up gal you are a MARVELOUS....

God be with you always..
Rgds
mood

shamim a.k.a Zeze said...

mie hiyo ngozi yako tu...kama kiooo

xoxo

Anonymous said...

Mbona uso softi hivyo??? unapaka kipodozi gani? Umependeza ile mbaya yake!!!

Anonymous said...

Teddy jamani mi naogopa on behalf wanaweza wakaziandikia maovu kwenye face book ila washindwe.ur so cute ila ur hair do'z kama sizielewi.unajishonea mwenyewe.
lov to lov u

Anonymous said...

U so cute...tabia tu ndio sijaipenda...sorry, no hard feelings ;-)

RTL said...

Mrembo hebu niambie ni Makeup gani unatumia mbona unazidi kuwa mrembo tuuu.... Kiss

Anonymous said...

Muah back! Are those Raha jipe mwenyewe pictures from iphone? Looks nice

chief said...

Teddy The lips........... mmmmmh Yammy.hahahha. But teddy dia the pics looks more "Babe come babe come" duuuu utaamsha walio lala. I mean sio wanamajungu ila wanaojua maana ya aliyelala usimwamshe hahaha. You look gorgeous dcarling

Anonymous said...

looking good always.watu weeeee

Anonymous said...

TK do u still use Aveeno? ur skin jamani iko sooo soft .. love it!

TOTAL KNOCKOUT!!! said...

Yes mdau. Aveeno forever!lol... Ahsanteni wadau wa thamani! Yes I have nice skin but I did some little retouch through picasa too. A lil' cheat! lol...

<3TK

Anonymous said...

I think U look amazing, those pics are HOT n SEXY and its not a bad thing. Thats every galz dream.

Jst a quick question, how do you manage to maintain ur weight? Are you on any speacial diet?

Overall I think ur a determined and hardworking person. I pray u succeed in all you do.

Anonymous said...

dahaa mtumee bongo africa imejaliwa watoto wazuri si mchezo.ngozi ina shaini utafkiri kitoto kichanga aiii!!! naomba nikulize swali mimi sio mbaguzi ilaa nashangaa mtoto mzuri ka ww kuolewa na mzungu au ndo makaratasi yenyewe kuyasaka.maana wapo wabongo kibao ma bachelor,s ambao paper wanazo

mdau arizona

Anonymous said...

mie nimeguswa na mdau hapo juu kama wewe sio mbaguzi kwani kuolewa na mzungu sio mtu???

mie jack uk.

Hilda said...

Teddy mamie, mi ni hiyo skin tone yako, very very nice!
If you dont mind, tushee basi hiyo secret, yani safi sana. Ni hizi maku up za kawaida au ni airbrush? Na ni make gani, MAC ama?? Plse let me know

love,
Hilda.

Total Knockout Search!!

Custom Search