Mastar wengi na kila mtu aliivyaa ku'impress. Lakini yote 9- 10 ebu tuangalie hawa wachache wanao tamba sana Hollywood walitokaje kwenye 2010 grammy Awards red kapetini.
Lea michele wa "Glee"

Ri Ri 
Heidi Klum

Carrie Underwood

Lady Gaga

Beyonce

Black eyed peas

...unaonaje mdau?
4 maoni / comments:
omg first bey bey congratz fo 6 damn awards..second..uhm gaga shez proved to be pyscho hahaha..i fink riri wz too much..the dress callz fo attention better stayin simple at tymz..bey bey`s nude dress wz predicatble bt lukx gud n kept the simplicity code..
the 1 n only...
Kivazi cha mrs JEEZ kimenibamba ile mbaya
HA HA HA, HUYO STAR WA GLEE NDO AMEONGOZA KWA KUPENDEZE KULIKO WOTE WA KWENYE HIZO PICHA, HEIDI NGUO IMEMTOA MATAIRI HAJATUZOESHA HIVYO, BEYONCE IM NOT SURE BUT HAJA NI WOW, LADY GAGA IS BEING LADY GAGA, RIHANNA IS BEING RIHANNA, MY OPINION THOUGH!
I will say Lea wa Glee..looking fabulous!
Post a Comment