
Siku kama ya leo Dec 31: Binti mrembo na mtaratibu, alizaliwa.
Happy Happy Birthday Millen Magese. Tunakupenda!


Nguzo Saba ya Kwanzaa:

AY said: "Wimbo huu nimejaribu kufikisha fikra zangu kuwa MWANAMKE WA KIAFRIKA NDIE BORA KABISA NA NAJISIKIA FAHARI SANA KUZALIWA NAO NDANI YA BARA MOJA."





Kama ulishawahi kuona filamu ya Bee ya Obsessed, "u think u r crazy?I will show u crazy" shosti karibia filamu nzima alikuwa kama analenga ukweli wa maisha yake na jigga jinsi atakavyo mkomesha shosti yeyote atakayethubutu kuingilia ndoa yake... na kusema kuwa yeye familia yake haina historia ya kuachika. Yaani kwa ujumla ni full mafumbo!
Kwa taarifa yako tu... Hakuna kitu kizuri duniani kama kujivunia ulikotoka au ulichokuwa nacho. Kwa ujumla ni kujitambua kuwa wewe ni nani na una manufaa gani hapa duniani. Kiingereza ni moja ya lugha ya kigeni ambayo inatumika kimataifa kibiashara n.k lakini inapokuja kuzungumzia matamshi (lafudhi) inaweza kutamkika tofauti kutokana na lugha ya mtu anayezungumza kutoka nchi fulani (mother tongue). Kwa wenye upeo mdogo wa kuelewa uwa wepesi kuwajaji watu kuwa hawajui kiingereza pale tu anaposikika kuwa na lafudhi.




Katie Gill: On=>IMDb