Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Friday, October 30, 2009

Halloween: Who's gonna be Catwoman?...



What's your Plan for Halloween Mdau wa U.S?!

2007-mdau Codynino na mdau mie tulikuwa wanajeshi, 2008-wamasai, 2009-??? endelea kuchungulia Total knockout kujua tutakua wakina nani. Wewe umepanga kuwa nani?...nasubiri picha zako mdau:)!!! Maana ya Halloween kwa wadau wa Bongo=> Wikipedia

TK in cartoon character!



Rabbit:"Aren't Kanye's sunglasses over?"
TK in cartoon: "Watu wengine bwana...shughuli si yako, waleta majamvi watu wakalie!"...
A bird:"Anajistukia".

Thursday, October 29, 2009

Miaka 40 iliyopita, siku kama ya leo: Oct. 29


Mwezi Oct. 29, 1969, mwanafunzi wa UCLA Charles Kline alikuwa mtu wa kwanza kutuma ujumbe kupitia ARPANET mtandao wa computer, ambao baadae ukaja julikana kama Internet.

Habari zaidi=> Yahoo

Total Knockout Search!!

Custom Search