Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Saturday, July 25, 2009

Sheria Ngowi Designs TM


Wow!?!... Looks like the 70's style. It's awesome!!

Pichani Designer & Stylist Sheria Ngowi(Kati)akionyesha baadhi
ya nguo zake ambazo zinatarajiwa kuonyeshwa kwenye fashion show
baabkubwa itakayofanyika mapema mwenzi August 2009.

Huku ikiambatana na ufunguzi wa duka jipya na la kisasa kabisa Jijini Dar es Salaam
Tanzania, East Afrika.

Kwa maelezo zaidi->http://www.sherianamavazi.blogspot.com/

Saturday, July 18, 2009

Are you feelin' this look?...goes with ALL-STARS!











Converse All-Stars have always been one of my favorite looks, especially when I feel like taking off the diva crown and transforming to be a little more classy-tomboyish! lol...

Pichani me coming from the audition...and by the way, this was my first time eating at Taco Bell. I remember there was a time one of my mpinzani mentioned that nafanya kazi Taco Bell :), such a silly joke to create!

I can barely pronounce it, anyways! I am always bothering my hubby to take me to Taco berry at least nipajue kunauzwa chakula cha aina gani. And he laughs:)! Because first of all, I am not a big fan of fast food. If I go fast' I'd rather go to IN-AND-OUT. Secondly, I always pronounce it wrong, Taco berry (Taco Bell) would they hire me?... Lol!!!

Friday, July 17, 2009

Is Fake Hair So Over!?!...

Ndio, baada ya kujibu swali la "TK unatumia nini ngozini?!" sasa ningependa jibu swali la "TK unatumia nywele gani?!":
Na si kusema kwamba najua sana...la hasha, ni upendo tu -kukubali ku'share siri ya urembo.

Najua mdau unaweza kushangazwa kusikia kutoka kwangu kuwa fake hair zimepitwa na wakati. Hii ni kweli kabisa! Kama mwanamitindo na mpenzi wa nywele bandia, napenda kuchukuwa nafasi hii ya kukudokezea juu ya nywele bora za kisasa.

Kwa kuwa nywele za bandia zimekuwa zikiongezewa ubora kama bidhaa nyingine, wapenzi wengi wa matumizi ya nywele bandia wakiwemo mastar wakubwa. Kwa sasa wameamua kwenda na wakati kwa kuwa na muonekano wa ki'natural natural kwa kutengeneza mitindo nywele zao au hata kuongezea 100% human hair weave.

Yes, human hair! ambapo sasa hutumika kutengenezea mawig, lace wigs, au weaving, na sivyo kama ilivyo zamani "cheap (synthetic) weaving'' za plastic ambazo ushusha hadhi ya mtu, pia uharibu ngozi ya paji la uso kwa kutengeneza chunusi.

Mimi binafsi utumia human hair(so inn!)especially wigs, ni rahisi kutumia... Pia tumeweza kuona zinawapendeza macelebrities wengi kama wakina Beyonce, Tyra Banks, Rihanna, Paris Hilton na wengine wengi.

Special Featured: Meet our new family member Jo jo!


Jo Jo ana miaka miwili na nusu, tumemwa' adopt wiki mbili zilizopita na tunafikiria kumpa jina la kiswahili.

Cody thought "kibichwa" will be fine... what do you think?... if you are good at names, tutafurahi sana ukitu'listia majina. Nasi kwa shukrani na taadhuma tuta'pick jina moja ambalo ungependa tumuite Jo jo.

Sifa alizokuwa nazo: friendly & very smart, wakati mwingi upenda kudeka, wakati mwingine m'bishi, pia ana ego.


Shukrani!

Pichani akiwa na daddy'ake Cody Haight, at farmers market last weekend.

Thursday, July 16, 2009

Kazi Nzuri ya Kina Klothing!






Salaam kwa wadau wote wa blogu ya TK.

Kina Klothing ina furaha kuwafahamisha kuwa tumefungua duka letu mtandaoni na unaweza sasa kununua Tshirt moja kwa moja kupitia www.kinaklothing.com

Kina ni kampuni mpya ya nguo ambayo inawakilisha Bongo na Afrika kwa ujumla. Kwa utambulisho tumetoka na kollektion inayoitwa Uhuru St. kwa sababu neno uhuru linabeba sababu nzima ya sisi kuanzisha Kina.

Vilevile hii ni lebo ya mavazi ya kitaa na Uhuru ni mtaa wa kwanza katika mfululizo wa kollektion zitakazobeba majina ya mitaa mbalimbali ya Bongo na Afrika kwa ujumla.

Kama kauli mbiu yetu inavyosema “Vitu vyetu. Kivyetu” basi ndio tunavyotarajia kuendesha lebo yetu, yaani full uhuru wa kutengeneza kazi zinazotuwakilisha, kwa namna tunayoamua wenyewe.

Tshirt hizi zimesanifiwa mahsusi kwa ajili ya wabongo na marafiki zao ili kuonyesha kuwa wabongo nao tumo katika medani hii ya design; lakini si hivyo tu, ujumbe unaobebwa na nguo kina ni mchango wetu katika harakati za kujenga madaraja kati ya waafrika barani na diaspora kwa kusambaza na kusheherekea yale yanayotuunga pamoja kama waafrika.

Hata hivyo, katika kollektion hii ya kwanza tumeamua “kucheza kwetu” zaidi, tunatumai utatutunza.

Tutembelee www.kinaklothing.com na tuambie mawazo yako.

Pia usisahau kujiunga nasi katika ukurasa wetu ya facebook (http://www.facebook.com/pages/Kina-Klothing/101720604819) na kutufuatia katika http://www.twitter.com/kinaklothing

Kaa mkao wa kula kwa kollektion inayofuatia, Samora avenue. Iko jikoni.

Amani.

Mkuki na Susan (Kina Klothing)

Wednesday, July 15, 2009

Siri ya uzuri wa ngozi yangu...




AVEENO PRODUCTS:

Ukweli ni kwamba, mara nyingi vipodozi vyingi ufanya kazi nzuri kutokana na ngozi ya mtu.
Na ndio maana watu wengi uwaamua kubadilisha vipodozi mara kwa mara mpaka pale wanapopata kinachowatenda vyema. Mimi AVEENO!

Baada ya kuichoka Nivea nikaamua kuhamia AVEENO na kama unavyoniona mdau kuwa inaning'arisha. "Sio pichani peke yake, ukiniona live utanipenda! Ukinigusa lazima ushtuke. I have a very soft healthy skin..."Aveeno!

Bongo kwa ubunifu, nomaa!! Kama Marekani ndogo.


Pichani kanga ya hayati Michael Jackson.

Kwa wapenzi wa mokorogo tu:
Fwd utani: 'chama cha watumia mkorogo sugu Bongo' CHAMKOSUBO' kwa pamoja wameungana na wana NGWASUMA wote kumuenzi maiko jaksoni'. Ujumbe: Mkorogo sunna babu weeee!!.... Ahahaaaa!

It's kinda sad, jamaa mpaka amefariki dunia bado mkorogo wake hatuja'ujua...

Hivi mdau na wewe ulishawai kujiuliza swali ili, MJ alikuwa anatumia mkorogo gani?!....

Graphic designer: Victor


Kazi nzuri kutoka kwa kijana mdogo wa kitanzania Victor, ambaye anasomea graphics design kwa sasa.

Ebu imagine akisha'shahadika sijui itakuwaje, kwasababu hapa bado mwanafunzi lakini uwezo wake tayari unaonekana kumahilika.

Pichani ni mie mdau wa total knockout, picha kutoka facebook alizitengeneza Victor na kunitumia kama surprise.

Thanks young bro'!

Friday, July 10, 2009

Usiku wa Jana: Happy Birthday Prince Faisal!!...



Pichani ni Prince Faisal S. Al Saud wa Saudi Arabia, mcheza cinema wa siku nyingi Wesley Snipes na mdau mie, tukiwa kwenye Royal Family birthday celebration party ndani ya skybar West Hollywood.


Picha ya pili sijaielewa vizuri, ilikuwaje?... naona jamaa alizubaishwa na totoz ya kitanzania!lol...Ngoja Codynino amuone, atamlarua!:)

Kwa umbea zaidi bofya hapa=>...Bossip.com


pic':getty images

Thursday, July 9, 2009

Vivazi vya American Apparel mie hoiiiii...



Ukisema uangalie vivazi vya vijana vya bei ya unafuu ambavyo vinashika nafasi kubwa katika ulimwengu fashion, vingi upatikana H&M, XXI, Wet Seal, forever 21, na maduka mengine ikiwemo American Apparel.

Ila yote tisa, 10 wabunifu wa vivyazi hivyo ambao wanashindana na wabuni wakubwa, hivi karibuni wameonekana kwenda kasi zaidi kiasi kwamba mpaka tunaweza hata kupata vivazi vya kisanii hata vya 70's. lol!

Pichani kitaani Hollywood; Actress Alessandra Torresani na mashoga zake wote ndani ya vivyazi vya
American apparel , wakielekea Bardot lounge usiku wa jana.

Saturday, July 4, 2009

The Jeans...


Ooh, man...I love this. "the jeans"!!!

Pichani kushoto ni mwanablog mwenza Devota Sebuyoya looking fabulous as usually, na kulia ni mwigizaji Jesca Alba, akiwa matembezini huku wote wakiwa wametokea kuvaa jeans za aina moja ambazo ziko "so in" kwa sasa.

Yay!!!

Nuru: Sassy and Classy!


Pichani mwanamuziki wa bongo flava Nuru, akiwa katika kivazi kinachovutia na cha heshima. Pink top, classic pearls, black min-skirt, black heels, pochi nyweupe yenye mauwa ya kijani na pink!...
Totally sassy & classy!! Me likey...

Wednesday, July 1, 2009

Umesikia?...Beyonce Wants to Dress the Schoolgirls of the World



Yay!

More on Celebuzz!

How is Your Day Mdau?....


1st of July is a beautiful day. Isn't it?...
I feel like sharing a little story about how my day got started.

I woke-up this morning, ran to my speech class and now just got to the studio, ready to do a shoot for an upcoming magazine release. Yay!!!

How did your day get started?...

Total Knockout Search!!

Custom Search