


Pichani kundi zima la Black Eyed Peas kwenye tafrija ya matangazo ya Louis Vuitton jana.
Huku Fergie akiwa amependeza zaidi kwa kutinga majina makubwa kwenye kivazi chake... gauni la navy lililobuwa na Marc Jackobs, mkanda na mchuchumio wa Louis Vuitton. Yay!!!
Weekend njema mdau!... Enjoy life to the fullest!!!





























