Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Sunday, May 31, 2009

Yeeeeeah, it's a bwoy!


Mama wa Fashion Kimora Lee Simmons na mcheza cinema Djimon Hounsou, sasa wamekuwa baba na mama kikamilifu.

Leo Kimora ametangaza kwenye twitter kuwa, jana asubuhi ajifungua mtoto wa kiume! Kwa raha zaooooo:)!!!

Monday, May 25, 2009

Beyonce Rocks!

Cream Military Style Jacket:
Vijacket vya ki'michael jackson vyarudi kwa kasi kubwa kwenye fashion sasa.

Pichani Lady Bee akiwa ametinga moja ya vijacket hivyo kilichobuniwa na BALMAIN, kinachoghalimu $3,564.00! :)

Sunday, May 24, 2009

Weekend na Busta Rhymes...

Hollywood kunani... mastar kibaooooooooooooo!lol

Pichani
Busta Rhymes na Spliff Starr waki'perform weekend hii "apple", West Hollywood.

iphone photo: by Codynino


Happy Memorial Day Wadau!

Thursday, May 21, 2009

Husichelewe, ticket zinanunuliwa kama mvua...


Piga /310-694-1042/ au /714-931-2973/ au /424-228-0886/ upate ticket yako.

Cinderella lyrics-> "Cinderella".

Wednesday, May 20, 2009

Wadau wa Los Angeles na Rais wetu!..."Kwa raha zetu"!

Watanzania zaidi ya 70 tuishiao Los Angeles tulikutana jana, na tulifurahi sana kupata nafasi ya kuchangia mawazo na Rais wetu JK. "Ni kama mtoto anapomuona baba".







Pichani
: Juu kabisa tukiwa katika picha ya pamoja na rais wetu Jakaya Kikwete hapo jana ndani ya Beverly Hilton Hotel baada ya mkutano.

Chini mdau mkuu Issa Michuzi akila shavu na wadau sisi wa Los Angeles.
Lol:)!
Dah!"tunampendaa".....

Picha na Habari zaidi->Issa michuzzzzzzzzzz!

Tuesday, May 19, 2009

The One and Only "Ali Kiba".... Ndani ya Los Angeles


Ni mmoja kati ya wasanii wa Bongo flava waliofanikiwa kupiga show nyingi ughaibu. Akiwa Ray C,TID, Mr. Nice, enzi hizoooo na wote ni wakali kwenye fani hii, lakini yote tisa kumi nani amevunja rekodi ya kufanya show nyingi ughaibu?... ALI KIBA!

Kwa mara nyingine tena Ali Kiba anatarajia kupiga show tena huku usukumani... Wapi? Los Angeles. Jiji lililojaa ma'super star wa ukweli, governor tu "Shwaziniga", Oops! Arnold Schwarzenegger.lol!

Anyway, kaa mkao wa kula~!

Monday, May 18, 2009

Attention: Miss Universe Tanzania 2009 final event tickets for sale

The final of Miss Universe Tanzania will be on the 30th May 2009, at Mlimani City Conference Center from 7.30 pm.
Tickets are available
Call hotline for individual tickets and corporate tables
0784 305122

Alive by Jenifer Lopez


Nikipenda wimbo, siku hiyo nitauwimba zaidi ya mara kumi kwa siku bila kuchoka. "Alive" ni mmoja kati ya nyimbo zilizotawala siku ya leo pia ikiwemo "milele" by Ray C, "tabasamu" by Mr. Blue, basi leo hmmm...ndani hakukaliki...lol!

Je, Wataka Ku'party na Familia Yako Jumamosi hii?...PRE-SUMMER FUN DAY & BARBEQUE - MILTON KEYNES

Ni party ya wooooooooooote!!!! Pre-summer family fun day May 23, jumamosi hii . Kuanzia saa sita mchana12:PM hadi saa nne usiku 10:00 PM ndani ya CONNIBUROW.

Yes!!!... PAVILLION,CONNIBURROW,MILTON KEYNES,
MK14 7AJ...
Huku Triple J's ikiwa imewaandalia the best Music Varieties, Family Game, pamoja na BBQ (Nyama Choma) & vyakula uvipendavyo. Kiingilio ni £5 kwa wakubwa, £2 kwa watoto na watoto chini ya umri wa miaka 5 bure!!!...

PS: Bei ya chakula uanzia £1 na kuendelea. For more information please contact 07886759174......Wote mnakaribishwa!!! Yays!!!!!!!!!!!!!:)

Sunday, May 17, 2009

Friday, May 15, 2009

Moja kwa moja kutoka kwenye Runway...


Michelle Obama akiwa amevalia gauni kutoka Basso & Brooke’s Spring 2009 RTW collection usiku wa Poetry ndani ya White House siku chate zilizopita.
And of'coz... Imempendeza zaidi!


Sunday, May 10, 2009

HAPPY MOTHER'S DAY!!!

HAKUNA KAMA MAMA! Nina haya ya kusema juu ya malaika mama yangu:
Ingawa hatupo nae kimwili lakini kiroho na kumbukumbu nzuri, siku zote zatawala maisha yangu.


Ni wazi kabisa kwamba mama yangu alikuwa ni zawadi niliyopewa kutoka kwa mungu.

Alikuwa mpole, mwelevu na aliyebarikiwa tabia nzuri. Nilimpenda sana mama yangu.

Alipokuwa akinibariki nilizisikia baraka zake zikiingia kwenye mishipa ya damu moja kwa moja kwasababu alikuwa akimaanisha.
Mungu ampunzishe kwa amani!!!
AMEN


Pichani mimi, hubby Cody na mama mkwe wangu. Namshukuru mungu, she has been an amazing mama to me too.


PS: Changia maoni yako nasi juu ya uhusiano wako na mama yako!...

Happy mama's Day!!!

Saturday, May 9, 2009

Habari Kwa Warembo...Miss Universe Tanzania 2009.

Kindly note that there has been a change of venue for the auditions in Dar-es-Salaam instead of Maisha club, the scouting team will be at CLUB BILLICANAS same date and time (15th May, 12 noon to 4 pm)
Please notify all the girls in Dar-es-Salaam
Regards to all from Dodoma!

Happy B'Day FJ Blog!!!


Hongera sana FJ!!! Ni maendeleo.:)

FJ

Wednesday, May 6, 2009

Scouting Schedule ya Miss Universe Tanzania 2009 Hii Hapa...

Miss Universe Tanzania Scouting team will be holding interviews with potential candidates as follows:
May 9th Rose Garden Mafiga Street - MOROGORO
May 10th Dodoma Hotel - DODOMA
May 11th Triple A Club - ARUSHA
May 12th Midland Hotel - MWANZA
May 15th Maisha CLub - DAR-ES-SALAAM

Forms available at various locations for more information contact 0784 305122

ENTRIES BY ELECTRONIC MAIL CLOSE ON 20TH MAY 2009

ps: Hii ni nafasi yako pekee ya kuonyesha uwezo wako. Wakilisha nchi yako ipasavyo. I say, go for it gal!...

Tuesday, May 5, 2009

Kwa Style tuu, ni Balaaa...



It's Ree again...spotted this morning in NYC. I love the style.

Inanibamba!

Rihanna Arudi Rasmi Kapetini..

Pichani: jana alipohudhuria Metropolitan Museum ya Art Costume Institute Gala mjini New York. Ikiwa ni mara ya kwanza kutokea kwenye kapeti jekundu, tangu kasumba kumkumba baina yake na mpenzie Christ Brown.

Kama kawaida yake anaendelea kuburuza mastar wa level yake kwa pamba, pichani akiwa amevalia Dolce & Gabbana suit na bow tie. Uwiiiiiiiii.... She rocks!!!!!

It's All About the First Lady's Fashion




Michelle Style:

Michelle Obama
has a bachelor's degree from Princeton and a law degree from Harvard and is an accomplished career woman who gave it up to be a mother to her two daughters. There are many reasons to admire and respect our first lady, but, based on the media buzz, her accomplishments at work and at home seem to pale in comparison to one thing -- her clothes.

Soma zaidi=> BlackVoices

Monday, May 4, 2009

Miss Universe Tanzania 2009 Form: Je, wewe ni Mrembo?...Na unaona Una Sifa za Kuwakilisha?...


Here is Miss Universe Tanzania 2009 Application Form.

You can kindly fill in and send back:


Official Preliminaries to Miss Universe ® Pageant
Independently Produced by: Compass Communications Co. Ltd
Contestant Entry Form

First name:…………………………………………. Family name: ………………..…………

Address (street, area, town, region, P.O. Box): …………………………………………
………… … ……………………………………………………………………………………..

Mobile phone number:…………………………… Phone number: ……………………..
Email: ………………………………

Passport number(if applicable)………………………….

Date of Birth: ………………………………………. Age:……………………………………….

Name of mother: ……………………………………. Phone…………………………………
Name of father: ……………………………………. Phone……………………………….

Highest education level attained (minimum O level certificate please attach copy)
……………………………………………………………………………………………..

Any food you do not eat? ..........................................................

Do you smoke? …………………………………………………………

Do you have any allergies? ……………………………………………….
If yes what?.........................................................................................

Name and contact of person to be contacted in case of emergency (if different from parents)
…………………………………………………………………………………..

Occupation ………………………………….. For how long?.....................................

Languages spoken: ………………………………….

Hobbies: ……………………………………………………………………

Special talent:………………………………………………………………………………….

Ambition in life: ………………………………………………………………….

I have read carefully the above and answered the questions to the best of my knowledge


Signed: ________________________________ Date: ________________

Please return filled in form with your CV plus one passport size photo, one full size photo and all relevant documents.

For all inquiries call: 0784 305122
............................................................................................................................................................

Saturday, May 2, 2009

Brandy Hadodi...


Unajua ni kitu gani nachompendea Brady?... Siku zote yuko mpya. Hajiachii...
Kama kasichana vile.

Pichani shopping: huku akiwa amevalia striped halter maxi dress na simple flat sandals. Kapezaa!:)

Friday, May 1, 2009

Heidi Klum na Kivazi cha Double Denim...

Style ya jinsi chakavu "Double Denim" yarudi kwa kasi.

Kama mtu sio mfuatiliaji fashion mzuri unaweza sema kivazi cha mtu aliyechoka kimaisha. Lakini kimevaliwa na Super model Heidi Klum, model mwenye pesa zake. Sasa sijui utasemaje!?...lol

Ni Double Denim baybeeee...tha' 80's!! Kanye nae amekuwa akizivaa sana toka mwaka 09 uwanze.

Kiafroo!



Ulishawahi kuona nywele za TK?...I guess not. Me neither. lol!

Sijui kwanini napenda sana extensions+wigs, naona kama zinanipa muonekano wa mtu mzima which I like.

Well, leo nimeamua kuwaonyesha nywele zangu halisi...a.k.a afroo! (nimezipaka rangi lakini.)

Total Knockout Search!!

Custom Search