Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Wednesday, April 29, 2009

Huyu ni Kim K au Beyonce na Chanel Iman!?


Oops!?! Ni Kim K na Chanel Iman.
Muonekano wake mpya wa blonde ukiangalia kwa haraka haraka waweza sema Beyonce.

Nimependa kivazi cha picha ya kwanza alichovaa viatu vya BCBG na gauni la blue.Yay!

Friday, April 24, 2009

Ndio Maana Wanaitwa "Make-up Artists"."








Hivi mdau ilishawahi kukutokea hii!?
... Umekaa chini unapakwa make-up bila kujiangalia kwenye kioo, huku mpakaji akiwa anafurahia kazi yake na kusema you look so amazing!Omg! Omg!... Akilini mwako unajua leo ndio leo, nikiipata hii picha... hmm! moja kwa moja naikimbiza "facebook".

Alafu ghafla unapata nafasi ya kukatiza sehemu yenye kioo na kukutana na mtazamo tofauti kabisa na uliokuwa ukifikiria.
Ungekuwa wewe ungefanyaje?...

Mimi baada ya kujiona niliangua kicheko. Nilihisi naenda ngomani.lol!
Pichani: Kazini leo asubuhi, mkcstudios.

Thursday, April 23, 2009

Usiku wa Jana: Company Party...



Pichani: Ya kwanza kutoka juu kabisa mie,
hubby wangu Cody Haight na Prince Faisal, prince wa Saudi Arabia.
Inayofuata tuko na Sir. Steven Saxton.

-Pili mie na shemeji yenu

-Ya chini kabisa mie na some pretty models nimesahau majina yao.


Wednesday, April 22, 2009

Annual Gala Benefit: Honoring First Ladies Of Africa

US Doctors For Africa yafanyika usiku wa kuamkia jana. Ma'super star kibaoooo....
Nimefurahi sana wadau kuwepo.

Pichani Nancy Assenga, Singi Luena, Happy Shao, Naomi Campbell, Paris Hilton na waheshimiwa kutoka Dar pia nao walikwepo.

Kulivuma!






Monday, April 20, 2009

Kumbini: TV Land Awards 2009.












Pichani: Ya tatu kutoka juu ni Christina Applegate
wa “Married With Children,” unamkumbuka!?... yah, nae alikuwa mmoja kati ya waigizaji walio tunikiwa tuzo hizo za 2009 TV Land Awards.

Kulivuma!...huku show ilikuwa kihostiwa na mcheza cinema chipukizi Neil Patrick Harris.

TV Land Awards 2009...





Wadau pia tulikwepo...

Pichani waliopendeza zaidi katika tuzo za TV Land, wa kwanza toka kushoto juu ni Happy Shao, Nancy Assenga, mie, Mekhi Phifer na mkewe, Julia Louis Dreyfus, Vivica A Foxx, Teri Hatcher, ndani ya kumbi za Gibson Amphitheatre jumapili hii (April 19) Universal City, Calif.

TV Land Awards

Thursday, April 16, 2009

Which Shot You like the Most?...






































Mdau, please help me out here. These are some photos I took recently, it's actually my first editorial shoot.

I have been learning how to not smile and still look sexy and classy. lol!

But which pozzziiiii is your favorite one?...


Photos by Paul Schefz

Tuesday, April 14, 2009

Special feats: Hasheem Thabeet Kuingia NBA Draft!!!

Hasheem Thabeet ameamua kutokumaliza masomo yake katika Chuo Kikuu cha Connecticut. Badala yake ataingia NBA Draft!... watu we weeeeeeeeee!!!


Hongera sana!!!







source:Swahili Time
/ESPn

Monday, April 13, 2009

Chris Brown na Kifaa kipya!?!...


Anaitwa Natalie Mejia kutoka kwenye kundi moja "underground" ki'music, wanajiita Girlicious!(wanajulikana zaidi Canada lkn).

Baada ya kuonwa pamoja CB' alipoulizwa akakana kuwa sio demu wake. (Ila mnakumbuka yeye na Rihanna walipoanza walikuwa wakikataa kuwa si wapenzi.)

Pichani wakiwa wametoka tattoos parlor. (sijui wametoka kuziziba tattoos alizochora alipokuwa na Rihanna.) hmm, makubwa!?!

Cassie, hii style hapana kwa kweli!...


Hii style ya ki'rock star ina'test ya kihuni fulani hivi, sidhani kama inaweza wapendeza wadada warembo kama Cassie.

Hapa kwa haraka haraka unaweza ukasema teja!lol
...

Kitaani: Me, my slush & I...

Sunday, April 12, 2009

TK TV: Happy Easter!!!

I hope you enjoy this little song from my webcam... nimechapia sana though, so feel free to laugh!!

video

Pasaka njema wadau!

Friday, April 10, 2009

Special feats: Happy Holy Friday!!

Heri ya Ijumaa Kuu wakristo wenzangu!


Siku kama ya leo inaweza ikawa moja ya siku nzuri ya kutafakari upendo wa mungu, na kutubu dhambi zetu kwa kumaanisha.

Good Friday everyone!

Thursday, April 9, 2009

Octomom Ashindana Kuvaa na Masuperster wa Hollywood!!!

Look at what Kim K has to say: :)

"Why is
Octomom wearing my Jimmy Choo sunglasses!? I think it's a little ridiculous that she claims she has no money and is on welfare to take care of her 14 children, yet she is out shopping and buying Jimmy Choo sunglasses!

I guess she'd rather spend her octo-dollars on accessories. Aren't 14 accessories enough, Octomom?? Am I sensing a shopping addiction here?"...

Halle Berry Ndani ya Bazzar Mag....

Halle Berry amekuwa cover girl, jarida la Bazaar toleo la May'o9.


Ndani ya Jarida hilo ameweza kuzungumzia mahusiano yake na boyfriend wake wa muda mrefu, Gabe(33). Pia ameweza kuzungumzia amewezaje kuji'keep fit baada ya kuzaa, na kudai kuwa anapenda kula Doritos.Lol!

Bila shaka mnaweza kumuona jinsi alivyopendeza!... Sioni utofauti kubwa baada na kabla ya kuwa na mtoto!...Kama kazidi kuwa mrembo vile!?!...
:)


Pichani: Picha kutoka ndani ya Jarida hilo akiwa amevalia vivazi moja kwa moja kutoka kwenye runway. Blumarine Spring 2009, Christian Dior Spring 2009, Fendi Spring 2009 collection, na Calvin Klein Pre-Fall 2009. Si mchezo!!
Source:Fashionjunkii/ Bazaar

Wednesday, April 8, 2009

The U.S First Lady Michelle Obama na Mama Yake Marian Robinson Ndani ya ESSENCE Magazine!!


First Lady Michelle Obama na mama yake Marian Robinson mwenye umri wa miaka (71), watia fora kwenye Jarida la Essence.

Jarida hilo lililopata bahati yakuchangia mawili matatu na mke na mama wa mke wa rais wa Marekani, linatarajia kutoka mwezi May huku ikiwa ime'featured siku ya kina mama dunia. Haya ni machache ndani ya mahojiano:-


FIRST LADY MICHELLE OBAMA ON...
* ADVANCING THE ROLE OF WOMEN WORLDWIDE: "We have to talk about flex hours and exercise and nutrition and health and what that means. And we have to talk about values, and about our relationships with men. All of those are part of the conversation that I think we need to have, not just in this country but around the world."

* combating stereotypical images of African-American women: "The women in videos and the stereotypes are just not the truth of who we are as a community. We already know that because we are living these lives every single day. It's nice to have this reminder in the White House, but I would say we don't need it...all you need to do is look around your own community and you will see this same family in churches and in schools."

MRS. MARIAN ROBINSON ON...
* advice on raising children: "The main thing that I think needs to be taught to children is the ability to think and make decisions. You don't have to have a lot of information, but you have to know how to get through the process. If you make mistakes you don't [just] decide I will never do that again."


* enjoying life in the White House: "...I really am. You want to know why? Because my children are good parents. It makes it very easy to be a grandmother when your children are good parents."

Pichani katika cover Michelle akiwa amevalia gauni kutoka Talbots rose print silk lenye thamani ya $169.00 ambalo kwa sasa linapatikana pia kwa $126.75.

FALL 2009 BAGS...

Ipi Inakuvutia?...Za kwanza 4 kutoka juu ni PRADA, mbili zinazofuata CHANEL, alafu MARC JACOBS, VERSACE, na MARNI.

Monday, April 6, 2009

"She Proved Me Wrong"...

Nilikuwa nikifikiri kuwa mtu ukishafika mri huu ni vigumu sana kupangilia pamba, zaidi ya kuvaa kiwastani kama nguo za vitenge au suti zisizo sassy. Lakini the first Lady Michelle Obama proves me wrong. Kila anachokivaa kinavutia...!







Pichani akiwa kwenye shughuli mbali mbali ndani ya vivazi vinavyovutia zaidi.

Total Knockout Search!!

Custom Search