
Kim K: Who doesn't!?!...
Hivi juzi juzi mwanadada mrembo Kim Kardashian a.k.a "Kim K", alifanikiwa kuwa featured kwenye kurasa ya mbele ya jarida la Complex.
Jarida hilo kwa bahati mbaya lilitokea kuweka picha ya Kim K kwenye mtandao kabla ya kuisafisha kwa kuondoa mabunya bunya ya mabajani ya mrembo huyo, na baadae kuiondoa.
Lakini hata hivyo Kim K alisikika akijitetea kwenye blog yake na kusema, hakuna cha ajabu kwani hakuna mwanamke yeyote yule mwenye umbo kama lake "curvy" hasiyekuwa na mabunya bunya. Hmmm!?!























