Hivi... ni wivu, upungufu wa akili, au ni ukosefu wa malezi bora?
Unapoiba picha zangu za facebook na kuzipeleka kwenye blogs chafu ni nini!? Wafanya hivyo ili iweje?...Do you think that will fade me?...uh' uh, that will never happen... tena na ushindwe kabisa!!!
Unasikia raha sana unachomfanyia mwenzako, kama ungekuwa wewe au ndugu yako anafanyiwa hivyo ungejisikiaje? Alafu... na hiyo tabia ya kuunda rumor ya uwongokwa lengo la kumchafulia mtu sifa pasipo sababu, ni nini!?... Kwa kuwa wewe ni mchafu basi unataka kuchafua kila mmoja...
I have been always busy with my work I never get time ya kufanya mambo ya kipuuzi (plus nakula changu sili cha mtu)... lakini bado muhuni bila haya wasimama kidede kuita wanawake wenzake wahuni... na hata kuthubutu kunilistia majina ya watu niliotoka nao huko blogin' ambao siwafahamu hata kwa sura. That's so cheap, hater!! You don't even know me.
Kama huna mpango na mimi achana na mimi, stop coming my way looser!.... You are distracting young people who depend on my advice, including your siblings na friends zako ndio watu wakubwa wanaotegemea ushauri kutoka kwangu (facebook). Yap!... Because they have faith in me. ..................................................................................... Tabia chafu inatokana na mtu kuwa bored na maisha. I am blessed! I am a beautiful lady with many talents, and I am busy pursuing my dreams. Sina sababu ya kuwa na tabia chafu kama wewe (iweje unanilazimisha?)... Hauna maisha ama!?
However, maneno ya mpumbavu hayanikoseshi usingizi. I just feel sorry for you! "Unajijua"... na blog zako za kuzimu wanaokupa nafasi, washindwe kabisa!!!
Dedication:
PS: For the none-haters juu kabisa 'am on set shooting my new commercial.
Max Osterweis, m'bunifu anayekwenda na lebel ya Suno.
Pichani ni vivazi vya Spring/Summer 09 collection ambavyo anasema ni mwenokano wa heshima ya mwanamke wa kiafrica mashariki huko downtown New York, ambako viwalo hivyo vinapotengenezwa.
Z HOVAKis a young female designer who happened to catch my eyes, and make my heart beat fast just from seeing her work.
It was early this morning cruzin' around West Hollywood and suddenly happened to bump this shining, sassy little clothes store, and I couldn't help but go in.
It's Z Hovak, who created such a wonderfully colorful clothing line. Every thing hand made one of a kind.
Along with her boyfriend who sells custom painted sneakers, they recently opened and run this store together.
Na wa chini kabisa ni my favorite favorite actress Taraji P. Henson yeye alitoka mchicha zaidi na gauni yeupe lililobuniwa na Roberto Cavalli na jewels zake kutoka kwa Fred Leighton.
New York Fashion Week imeanza kwa kishindo kikubwa, huku ubunifu wa Afrika ukiwa umepewa nafasi ya kufungua dimba.
Pichani African Fashion Collective 2009, ikiwa imesindikizwa na sauti ya mwanamuziki Grace Jones ndani ya Bryant Part.
Wabunifu wanne walionyesha kazi zao, Xuly Bet kutoka Mali, Nkhensani Nkosi wa Afrika ya kusini, Fati Asibelua-Momo na Tiffany Amber kutoka Nigeria.
Huku ikiwa na ma'model kutoka nchi mbali mbali ndani ya Africa, Russia, China, Netherlands bila kusahau super models weusi maarufu Alek Wek, Millen Magesse, Chanel Iman, na Tyson Beckford walikwepo akiuza sura. lol!
Mimi Valentine's Day yangu ilikuwa safi kabisa...asubuhi nilienda hiking na mpenzi kwenye vichaka vya kilima cha Hollywood. Tunapenda hiking! ................................. How was yours?
Pichani akiwa na mdau wa "Visual Label" Adam Juma, anayesifika kwa kunga'arisha na kuipandisha chati kazi ya wanamuziki wa bongo flava. Pia ni mtu wa kwanza kwa kutengeneza music videos zenye ubora inchi Tanzania. (Unabisha?)
Grammy Awards ya mwaka huu ilikuwa na mabadiliko makubwa kidogo. Wasanii waliopanda jukwaani ku'perform walikuwa ni watu wanaotofautiana kiumri, aina ya muziki hata life stlye. Lakini hii ni moja ya bonge la collaboration..watch it!
Habari nyepesi nyepesi zinasemekana kuwa Mwanamuziki kikongwe (mkubwa) Etta James, hakufurahia kitendo cha Beyonce kuchaguliwa kutumbuiza wimbi wake mashuhuri wa "At Last"..... ambao diva B aliuimba kwenye sherehe ya first dance ya Obama na Michelle ndani ya presidential ball…
Hivi karibuni Etta James moja kati ya performers zake huko Seattle alisikika akisema:
(Madongo kwa Beyonce na Obama) utani tu...
You guys know your president right? You know the one with the big ears. Yeah, wait a minute, he ain’t my president, he might be yours.
I tell you that woman he had singing for him, singing my song, she gonna get her ass whipped. The great Beyonce.
Now like I said, she ain’t mine. I can’t stand Beyonce! She had no business up there singing. Singing on a big ole, big ole presidential day and going be singing my song that I’ve been singing forever.
Lol!
Mbali hapo pia hivi juzi juzi Beyonce alicheza movie iliyobeba jina la Cadillac Records, ambayo inayomuhusu mwanamuziki huyu wa mkubwa.
Kazi ya mbunifu Christian Lacroix ndani ya Paris Fashion Show:
Wakati mwengine utokea kuwa vigumu kwa watu wa maisha ya kawaida kupata nguo kutoka kwenye runway ambazo wanaweza kufikiria kuzivaa nje. Hasahasa kama sio msanii au mvunjaji sheria kwenye mavazi.
Lakini si kwa mbunifu Christian Lacroix, yeye ni mmoja kati ya wabunifu wakubwa kutoka France ambao kazi zao zinaweza raisi kuvalika nje.
Updated: Posh says goodbye to LA!? Tayari kwishaanza kufanya uhamisho wa shule ya watoto huko Milan.
Kwanza ilikuwa makubaliano kati ya mke na kazi.
Hivi karibuni Beckham alisikika akisema yeye yuko tayari, na ni juu yao AC Milan na Galaxy kufikia maamuzi ya kuhama kwake. (Ina maana mama watoto sasa ameridhika na Milan!)
Kwasababu mwanzoni Posh hakuwa tayari na Milan kwa kuhofia wanawake wazuri za kitaliano kuwa wangeweza kunyang'anyiwa mume.(rumor) Kazi ipo!I can't wait to see the shoe Posh is gonna put on. Italian heels bay'bee!!
It was all about Hasheem Thabeet! Hadi raha yaani!!!......
Akiongozana na Jeff Adrien ambaye alijitengenezea points 18, na rebounds 7. Player of the Game Hasheem Thabeet, yeye aliibuka na points 14, rebounds 11, na 4 blks . Vile vile Jerome Dyson akaja kumaliza na points 14, A.J. Price 11 na Kemba Walker 8 kwa Huskies (21-1, 10-1 Big East), ambao wameibuka ushindi wa 10 kwa row.
Ni masaa machache tu yamebakia, UConn kuingia uwanjani.
Let me put it kwa "kimanga", kwa kuonyesha msisitizo zaidi... Leo UConn will be play the most important game of its regular season against the Cardinals.
Kwahiyo kama uliwahi au ukuwahi, utapenda au ungependa kumuona ndugu yetu Hasheem akiwakamua "wamanga wa ughaibuni", basi ndio wakati wenyewe huu...usikose! Inatarajiwa kurushwa moja kwa moja kupitia Luninga yako ya ESPN kwa wadau wa LA channel 39 saa 4:00PM
Wow!!!Kwa mara nyingine tena nimejikuta natokwa na kijasho chembamba baada ya kusikiliza wimbo mpya wa Mr.blue! Kama mshabiki wake mkubwa... ni muda mrefu sana sikukutwa na hali hii... Hii inanizihirishia wazi kuwa Blue ameongeza nguvu katika kazi yake. Zizzou entertainment, Dir.John Kallage, kazi nzuri sana. Wimbo waitwa tabasabu- Steve na Blue!... Bravo! Bravo!
Connecticut's 7-3 junior center punished Providence, scoring 15 points, grabbing 11 rebounds and tying his own school record with 10 blocked shots - the first triple double of his career - as the second-ranked Huskies rolled to a 94-61 victory.
"Today, you saw a visual picture of all the things he can do to affect the outcome of a game," UConn coach Jim Calhoun said.