Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Saturday, January 31, 2009

OMGNESS!....



















I would love, love, love... siku moja Bongo kuwa na msanii wa kike atakayekuwa flexible kama wa hapa ughaibuni.

Pichani Rihanna akijiachia jukwaani at Ford Amphitheater kwenye shughuli ya VH1 Pepsi Smash Super Bowl Bash. Omg I love it!...So sexy!

Friday, January 30, 2009

FJ na Usiku wa Touch Foundation Look!

















Girls in color!

Pichani FJ na marafiki zake kwenye mdahalo wa Touch Foundation jana, wakiwa wametinga viwaro vya rangi zinazochukua nafasi spring 2009... Sexy, Classy & Sassy!

YEEEEAH!... IT'S NAKAAYA BABY!!!

NAKAAYA ALAMBA SHAVU LA NGUVU SONY MUSIC ENTERTAINMENT!

An icon of contemporary Tanzanian music, Nakaaya, has been signed to Sony Music
Entertainment.

Nakaaya now makes history by being the first East African artist ever to be signed to the second largest record company in the world.

The company’s roster includes internationally acclaimed artists such as Alicia Keys, Beyonce, Britney Spears, Celine Dion, Chris
Brown, Sean Kingston and many more. Upo hapooo!?...Lol!

Congratulations Nakaaya!!! Haya ndio mambo!!!

She has this one song called "Matatizo", Omg it's one of my favorite favorite songs of hers. Nikiusikilizaga ule wimbo, utokwa machozi kabisa. It's such an emotional song. Especially kama ukiwa mtu na mahisia ya karibu...I bet you, lazima utokwe na machozi.


Habari zaidi bonyeza hapa=>http://www.nakaaya.com/

Thursday, January 29, 2009

Jennifer Hudson Back In The Game baby!


Baada ya Matatizo makubwa yaliompa ya kupoteza watu wa karibu katika familia, Jennifer Hudson tayari kurudi kazini.

Pichani akirembwa wakati wa ku'film music video ya single yake mpya"If This Isn't Love,"ambayo inatarajiwa kuonyeshwa Feb 9.

Duh!?...Hii Kali Kuliko!...SAG Awards.

SAG Awards:
Kumbe gauni la Angelina Jolie lilikuwa limevaliwa backwards!?...Yeah, bwana. Watu walianza kuzungumzia kwa kusema kuwa ni mwembamba sana so alikuwa anaficha mifupa ya kifuani, wengine wanadai alitaka kuonyesha tatoo zake za mgongongoni... hmmm!

Lakini kwa kukata kilimilimi akaulizwa na kujibu:"I just like to be comfortable. I see what comfortable options are out there".. Inaweza ikawa style yake eh!...

Wednesday, January 28, 2009

Uendapo shopping, usisahau "What's in"...




Spring 2009 Fashion, Trends:
Silk twill jacket, $2,700, cut-out swimsuit, $1,125, visor, $315, monogram tote bag, $1,860, na Chanel surf board.

Pia angalia Ka'Tote beg, kako very sassy $1,550, linapatikana Celine Boutique
nationwide.

Bracelets za visoda na picha ya buda, bikira mariah, alama ya amani, Mercedes Salazar, $18 kila kimoja.

Neoprene boot, $195, Vyote unaweza pata Kitson, hapa L.A.

Kumbuka Spring 2009, full viwaro vya rangi! yay!!
Enjoy your shopping!

Tuesday, January 27, 2009

Milen Ndani ya Audi-Joburg Fashion Week..


............
Winter 2009-Nigerian Fashion Show.

FJ/Ladybrille

Who is TK?...















Dar411 :
What is your full name, Age, place of birth and marital status?
Teddy : Teddy Kalonga Haight, 26yrs old, Dar-es-salaam, married.

Dar411 : What are you famously known as?
Teddy : I am known as TK, and many people know me from my shows on East Africa TV Channel 5 and ITV2, as well as many TV Commercials & Billboards!

Dar411 : Can you give us a brief history on your life up to the current times?
Teddy : I was born and raised in Dar. In 2000, during my high school studies, I got my first job on a TV show called Jackpot Bingo on ITV. Right away, I fell in love with TV and the camera! After Jackpot Bingo ended, I began working in transmissions airing shows at ITV2, produced and hosted my own show called "African Mix".

Habari zaidi, bofya hapa=> Dar411

Monday, January 26, 2009

Leo China Yasheherekea Mwaka Mpya....


Chúxī.!! lol

Miss Brazil Afariki Dunia vibaya...


Mrembo Miss Brazil Mariana Bridi (20), amefariki dunia leo asubuhi huko Brazil baada ya kuugua ugonjwa wa bacteria usio na tiba.

Habari zaidi kutoka kwa da'Chemi=> http://swahilitime.blogspot.com/

Inatilisha huruma eh!?

Tuzo za SAG 2009, Kapeti Jekundu...



Pichani jana: waliopendeza zaidi Angelina Jolie na gauni lililobuniwa na Max Azria, Teri Hatcher na kivazi cha Monique Lhuillier, Mindy Kaling dada wa kihindi mchekeshaji ktk tamthilia ya The Office akiwa ndani ya blue BCBG dress, na wa chini kabisa ni binti Andrea Bowen.

Kwa mtazamo binafsi wa haraka haraka, magauni haya yanaweza kuvalika bongo bila tatizo kabaisa.(ya kiheshima!)

Sunday, January 25, 2009

The Absulute Truth!


Wabunifu wadogo walioamua kutangaza injili kupitia kazi yao. Check out their jeans at www.absolutruth.com!

Haya ni maadiko yanaoonekana pichani kwenye jeans za chini:
Mithali 10:24 Kile anachoogopa mwovu ndicho kitakachompata, kile anachoonea shauku mwenye haki atapewa.
Mithali 11:2 Kiburi kinapokuja, ndipo huja aibu, bali unyenyekevu huja na hekima.
Mithali 11:30 Tunda la mwenye haki ni mti wa uzima, naye mwenye hekima huvuta roho za watu.

Happy Sunday!

Saturday, January 24, 2009

MISS AMERICA 2009.


Miss Indiana Katie Stam (22) ambaye pia ni mwanafunzi wa chuo kikuu cha Indianapolis, ashinda taji la Miss America 2009.

Vivyo hivyo vipaji vilionekana kuchukua nafasi kubwa katika mashindano hayo.... kideoni inamwonyesha Katie alipokuwa akionyesha uwezo wake wa kuimba.

Thursday, January 22, 2009

Kanye Kuripoti Kwenye Blog Yake, Kinachomvutia Fashion Week!!!
























Me likey!!!



Kanye aahidi kuripoti vinavyomvutia ndani ya Fashion Week, moja kwa moja kupitia camera yake ya Leica D-Lux 4.


Picha ya chini kabisa inamuonyesha model kwenye runway akiwa ametinga kiatu cha rangi nyekundu cha LV, huku na mguu wa Kanye ukiwa umevaa kiatu cha dizaini hiyo. Wapenda sifa tuko wengi!!!lol...

Wednesday, January 21, 2009

Party Kubwa Kuliko: The Neighborhood Ball.


Updated:
Party kubwa kuliko, jana zilifanyika huko Washington D.C:
Party 10 zilifanyika na zote zilihudhuriwa na rais mteule wa Marekani Barack na mke wake Michelle Obama ambaye alivalia gauni lilibuniwa na Jason Wu.

Ikiwa na mastar na wanamuziki wakubwa Kanye, JLo, Marc Anthony, Mary J, Mariah Carey, Stevie Wonder, Alicia Keys, Faith Hill, Will.I.Am ambao hawa wote waliimba pamoja na Diva Beyonce kupata tena nafasi ya kumwimbia rais "At Last".

Angalia video ya party ya Neighborhood Inaugural Ball... mahisia ya nguvu!

Tuesday, January 20, 2009

Watch it!

Angalia rais wa Marekani Barack Obama akiapishwa.

THE 44th PRESIDENT OF UNITED STATES BARACK OBAMA...


AMEN!


Picha ya kwanza Mabinti wa rais Sasha(7), na Malia Obama(10), wakishuhudia kiapo, huku wakiwa wametinga nguo nzuri zilizobuniwa na mbunifu J.Crew.

Special Day: OBAMA'S DAY!!!!


Today is the day!
They say it's Obama's Day, I call it a miracle day. A day that miracles are about to happen. Oh Lord bless the day, bless the U.S.A, bless the World, Bless the
soon to be President Baraka Obama. AMEN

Don't let the day pass you without being part of it. Share the joy and emotional feelings with the world. If you haven't got a chance to be there like me, right this moment its broadcasting on MSNBC. Don't miss it!

ps: The soon to be First Lady Michelle Obama is wearing a sparkling greeish-yellow dress and coat by Cuban American designer Isabel Toledo for the swearing-in ceremony in Washington today.

Monday, January 19, 2009

Kama Imekupita: WE ARE ONE





The Obama Inaugural Celebrations:


HBO ilirusha (live) moja kwa moja kutoka Lincoln Memorial.

Sunday, January 18, 2009

Weekend with the Loved Ones...

Pichani wadau Cody, Meelay, Shakuu,Twahlee na mama yao nikiwa nimetinga Kanye West Shades ndani ya club moja usiku wa kumkia leo hapa Hollywood.

Saturday, January 17, 2009

Mazagazaga Ya Sasha Fierce ni Balaa...

SINGLE LADIESCrazy In Love

Vipi, umepata nafasi ya kuona video yake ya Diva? Ni balaa... utasema ni female version ya Jay Z. Lol!


by kimmdivas

Friday, January 16, 2009

M'bunifu wa Baby Phat, Kimora Lee Simmons Mjamzito....


C.E.O/ m'bunifu wa Baby Phat, Kimora Lee Simmons na mwigizaji wa kiafrica kutoka Benin ambaye kwa sasa ni raia wa Marekani Djimon Hiunsou wanatarajia kupata mtoto.

Kimora tayari alikwisha zaa watoto wawili na mfanyabiara mkubwa na mkuzaji Hip-Hop nchini Marekani Russell Simmons.

Pia inasemekana kuwa show yake ya "Life in the Fab Lane" iliyokuwa ikirushwa "E" imekanseliwa.



Vilikwepo '08 na Vitaendelea Kuwepo '09...





L.A.M.B Jamaican Pumps $ 300, na Balenciaga Lego pump heels $4175 na kuna vya Steve Madden ambavyo viko bei ya chini $95.


Kama imetokea vikakupita.

Vilikwepo 07 -'08, vipo, na vitaendelea kuwepo '09. Rangi inaruhusu.

Kazi ya Misumari na Ubunifu...



Ikiwemo gauni lililobuniwa na Prada ambalo kwa haraka haraka unaweza sema ni la kitenge, lakini material yaliyotumika hapo ni tofauti kabisa ikiwemo misumari kama sehemu moja wapo ya urembo.

Thursday, January 15, 2009

Girl...Have You Got One?....




American Apparel!

Utunzaji wa Kucha Unaongeza Urembo Kwa Mwanamke.



Kucha:
Utunzaji/ upakaji rangi wa kucha uhamasisha na kuongeza urembo wa mwanamke.

Wengi tunafahamu urembo wa mwanamke uko kwenye utunzaji wa nywele, ngozi n.k

Lakini pia kuna siri moja ambayo wadada wengi ujituma kufanya bila kujua kuwa kuna mabadiliko makubwa uweza tokea ndani ya muonekano wao.... kuongeza au kupunguza mvuto, kuuvuruga au kutambulisha unadhifu wako.

Hivyo basi ni vizuri kujielewa unadhifu wako katika idara mbali mbali za urembo. Kama staili haiendani na personality yako iache ipite. "Urembo wa kucha waongeza mvuto wa mwanamke"!

Total Knockout Search!!

Custom Search