Jenifer Lopez na Shakira Tamara Mellon na Demi Moore. Rachel Weis na Sienna Miller
Jessica Simpson na shosti Paris Hilton.And ofcourse, your girls TK na Cynthia Masasi.
16
maoni / comments:
Anonymous
said...
kuvaaa sijui ni kipaji au uwe na damu ya nguo,hivi hivi hata uvae kama nani hupendezi ngo'ooo mnenongaaa balaaa u and cynthia mna damu ya nguo kama mama salma 1st lady!!
Cynthia anakua au labda make up aliyopaka? maana nyie dada zetu kwa kujiremba tu hamjambo. Alafu Tk uzeeki hehehehe tafadhali husiibanie comment yangu hehehe nakambuka nilikua nikikuangaliaga kwenye vipindi vya television nikiwa na mdogo miaka 14. lakini sasahivi tukisimama wote walah watu wataniona mimi mzee!
Yaani mastaa hapo mmefunika bovuuu TK na CM mi niwapenda sana style yenu mimi kama fani wenu ningependa mfanye shuti pamoja itakuwa balaa nyie ni wazuri halafu hamringi,MUNGU KAWABARIKI na huyo jamaa yake cintia anjulikana kwa kupiga pamba ni nomaa
jamani Teddy na Cynthia ndio macelebrity wakibongo wanakula pamba sio kitoto na ni wazuri kama mdau alivyose,a hapo juu yangu inabidi ifanyike shooting moja kali sana,watoto ni wazuri wamebarikiwa na wote ukiangalia angalia tv yako unawaona tsk tsk tsk me love these women kwa kweli endeleeni kupendeza
Humu duniani kuna watu na viatu, Miss VIMBWISI anasema TK anamgeza alivyoweka hii post. Anasahau kuwa TK started this S**t ya dress alike long time ago. Kweli usilolijua ni kama usiku wa giza kwa kwa kwa kwa
Miss vimbwisi anataka sasa kutudanganya anavaa nguo za masupastar wakati nguo zake zote cheap cheap tu hahahaha nimecheka leo sana...tk achana na kichaa yule...kazi yake kushindana nawatu asiowaweza wala wasiojali vimbwisi vyake lol
nyie watu ni wachonganishi na wambeya please leave people alone mnataka kuanza kuanzisha ugomvi kwa wenzenu halafu mkae pembeni na kuangalia...TK move on with ur life and don't entertain uchonganishi watu hawawatakieni mema kazi kuleta maneno na uchonganishi, kama mna ugomvi wenu mambo yalishapita sasa kwanini watu wengine wanataka kuendeleza umbeya hiyo yote ni roho ya kishetani...badala ya kuchonganisha watu mngetakiwa kuwapatanisha wato hapa naamini ni watu wazima..acheni ujinga
16 maoni / comments:
kuvaaa sijui ni kipaji au uwe na damu ya nguo,hivi hivi hata uvae kama nani hupendezi ngo'ooo
mnenongaaa balaaa u and cynthia mna damu ya nguo kama mama salma 1st lady!!
is it me or is cynthia masasi aging up?
ofcz since designers hawatangenezi nguo moja moja..:)
Cynthia anakua au labda make up aliyopaka? maana nyie dada zetu kwa kujiremba tu hamjambo. Alafu Tk uzeeki hehehehe tafadhali husiibanie comment yangu hehehe nakambuka nilikua nikikuangaliaga kwenye vipindi vya television nikiwa na mdogo miaka 14. lakini sasahivi tukisimama wote walah watu wataniona mimi mzee!
nyie twins mbona watamu hivyo?
ngoziii zenuu jamaaaa
"Leo for shizleee"!!!
As long you are buying OTR somebody else has the same clothes that you bought. If you have money bespoke is the only way.
Yaani mastaa hapo mmefunika bovuuu TK na CM mi niwapenda sana style yenu mimi kama fani wenu ningependa mfanye shuti pamoja itakuwa balaa nyie ni wazuri halafu hamringi,MUNGU KAWABARIKI na huyo jamaa yake cintia anjulikana kwa kupiga pamba ni nomaa
Am speechless gals!
TK & CM u rock, keep ur heads up. Twins from diff mothers,tsk tsk tsk
jamani Teddy na Cynthia ndio macelebrity wakibongo wanakula pamba sio kitoto na ni wazuri kama mdau alivyose,a hapo juu yangu inabidi ifanyike shooting moja kali sana,watoto ni wazuri wamebarikiwa na wote ukiangalia angalia tv yako unawaona tsk tsk tsk me love these women kwa kweli endeleeni kupendeza
SARE SARE MAUWA
UNAKUMBUKA ENZI ZILEEEEEEEE
disminder
SARE SARE MAUWA
UNAKUMBUKA ENZI ZILEEEEEEEE
disminder
Humu duniani kuna watu na viatu, Miss VIMBWISI anasema TK anamgeza alivyoweka hii post. Anasahau kuwa TK started this S**t ya dress alike long time ago. Kweli usilolijua ni kama usiku wa giza kwa kwa kwa kwa
Miss vimbwisi anataka sasa kutudanganya anavaa nguo za masupastar wakati nguo zake zote cheap cheap tu hahahaha nimecheka leo sana...tk achana na kichaa yule...kazi yake kushindana nawatu asiowaweza wala wasiojali vimbwisi vyake lol
nyie watu ni wachonganishi na wambeya please leave people alone mnataka kuanza kuanzisha ugomvi kwa wenzenu halafu mkae pembeni na kuangalia...TK move on with ur life and don't entertain uchonganishi watu hawawatakieni mema kazi kuleta maneno na uchonganishi, kama mna ugomvi wenu mambo yalishapita sasa kwanini watu wengine wanataka kuendeleza umbeya hiyo yote ni roho ya kishetani...badala ya kuchonganisha watu mngetakiwa kuwapatanisha wato hapa naamini ni watu wazima..acheni ujinga
Mmependeza sanaaaaaaaaa. Najivunia kua na watanzania wenzangu warembo. Luv u luv u luv uuuuuuuuuu kwikwikwi
nakupenda cynthia masasi mbona siku hizi sikuonioni? umejificha wapi mtoto mzuri?
Post a Comment