Hasheem Thabeet kijana mdogo mwenye mafanikio aliyewapigisha vijana wengi butwaa! Thabeet ambaye kwa sasa anachezea Memphis Grizzlies, NBA..."najua wengi tunamfahamu", akiwa na umri wa miaka 21yrs tuuuuu tayari kwisha jipanga vyema kimaisha. Picha kutoka kwenye jumba lake la kifahari hivi karibuni. Looking fierce kama kawaida yake!!!
Jitihada zake mwenyewe...hatambii vya baba"...lol!
He is definitely mfano mzuri wa kuigwa.





12 maoni / comments:
kwi kwi kwii teddy!! maisha ya sasa bila kujituma hayaendi. vya watu vina mwisho wake. hongera hasheem..
Nikweli kuna wanao tambia sana kwetu tuna huwezo kama kuna watu kwao wana huwezo wasaidieni wasio nauwezo sio kukaa kuweka majungu kushindania nani mwenye uwezo nani ana huwezo
Hasheem kapendeza! Mwenzetu ana bahati kuna wengine hapa tumeangaika miaka na miaka kutafuta mdhamini wa kikapu HAKUNA. labda atupe shavu
DAH HASHEEM UMEPENDEZA KWELI KAKA ANGU!! HIVI MTU UKITAKA KUTAMKA NENO KUPENDEZA KAMA MTOTO MDOGO UNATAMKAJE? UMEPENDENNNNJA! HAHAHA HA UMEPENDEZAAAA!!!!!!!
WOW!! Hivi jamaa amekua au ni macho yangu. mimi nimeipenda picha ya nne kutotka juu iyo yuko na sweta la orange sijui. kazi njema kaka
hivi hiyo bahati inayoengelewa ni ipi???NADHANI NI BAHATI YA KUWA mrefu..MAFANIKIO NI JUHUDI ZAKE binafsi,...ongeza juhudi,DONT 4GET,"IF UR SUCCESSFUL U LL WIN FALSE FRIENDS AND TRUE ENEMIES"----
SUCCEED ANYWAY.........
MDAU---UJ
Hongera kwa Hasheem,
Kama analipiwa na Timu thats fine with him,
kakini kama analipa mwenyewe du ni balaa,but kama anataka kuwa tajiri maisha yake yote eje ainvest hapa Bongo am telling him anaweza akawa bilionea wa kwanza Tz,maana kama kodi ya hapo kwenye hilo Jumba itakuwa balaa kwa Marekani.
Ni ayoo tu
its true but the guy is gifter from God.
Keep it up Hasheem.
disminder
Big up! mfano mzuri na mwema kwetu.
hasheem keep repin your country..usisahau ulipotoka..ushauri: njoo tanzania uwekeze, kwa njia hiyo mafanikio yako yatakuwa na tija kwako na kwa uchumi wa nyumbani. kama msemo usemavyo watanzania tutaijenga tanzania kwa mikono yetu wenyewe..this is a call for all the other diasporas waishio ughaibuni, tht includes u teddy..hayo mafanikio yenu ulaya hata mkiwa billionares ur not affecting much change if u dont come back home and invest tht cash here.
Thabeet would u marry me? hahaha
Since my childhood I've been dreaming of this moment. I've seen Manute, Hakeem, Dikembe and Luol playing...and I waslike "What about WE? What's wrong with WE, guys?" Then out of nowhere, unknown boy leaped up to answer my call. Yeah, Hasheem Thabeet did answer that call. And what a leap of faith was that,guys! Thankyou Hasheem, once again this year, after Barack, you've made a brother proud of being Black/African/Tanzanian!
Post a Comment