Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Sunday, December 6, 2009

Sunday Beauty Tip: Swali kutoka kwa mdau na jibu la Total knockout!!

Hi TK,
Habari za kazi, mimi nashukuru Mungu ninaendelea vizuri na kazi ingawa hali ya maisha bado ni ngumu. Mimi ni owner wa (..........)
Nimekuwa niki admire sana ngozi yako na muonekano wako,
Sasa Sis, ninatatizo mwenzio na ni la muda mrefu sana, yaani ninasumbuliwa na chunusi usoni na mgongoni , na nina rangi mbili mwili, yaani hata nikipaka make up haikai vizuri, jamani ninaboreka kweli, na make up ninayoipenda na hainiongezei vipele vile vidogo vidogo ni mac, zingine nimejaribu zinaniletea vipele.
huwezi kuamini, sitoki outing, picha sipigi sana kwa sababu ya uoga wa kuwa hazitatoka vizuri, yaani niko niko tuuuu mwenzio.
naomba ushauri wako nifanye nini mwenzio mdogo wako.
Have a nice  day sis.
***********************************************************************


Jibu: Hello, Kitt!
Kwanza kabisa ilo tatizo uliokuwa nalo si geni kwa watu wengi, hata mimi nilishalipitia. Kwa mtazamo wangu binafsi ili tatizo la ngozi kutofautiana linatokana na ngozi kuchomwa na jua. Watu wengi unaweza kuta wana shingo nyeusi, mikono na sehemu za miguu ziko tofauti na sehemu yengine za mwili. Njia moja tu rahisi ya kuepuka na tatizo ili ni kutumia sunscreen. Kwa matokeo bora zaidi ni kutumia apricot scrub (jisugulie) wakati wa kuoga  na kumalizia na moisturizer lotion au cream kama Nivea, Vaseline, Aveeno lotion yenye sunscreen. 

-"MC make-up ni nzuri lakini kuwa makani kwasababu product yake ni nzito, na inaweza kuwa ngumu kusafishika na pia kusababisha chunusi. Wakati wa kuitoa jitahidi kuosha uso wako vyema kwa kutumia cleanser na maji ya vuguvugu."

 xoxo Total Knockout!!  






2 maoni / comments:

Anonymous said...

anaweza kutumia pia make up remover kama ya clinique for sensitive skin kuremove make up. atumie facial wash, mosturizer na exfoliator scrub .

Anonymous said...

Jitahidi pia kunywa maji mengi yanasaidi kutengeneza ngozi, na chakula vilevile ni muhimu, kwani matatizo mengi ya ngozi yanatokana na kukosa virutubisho vinavyosaidia kutengeneza ngozi hivyo matatizo mengi huanzia ndani ya mwili.

Total Knockout Search!!

Custom Search