Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Thursday, December 3, 2009

Skendo ya mkanda wa ngono wa Jennifer Lopez. Swali lako hili hapa mdau!?...


Mdau nadhani ulishawahi sikia kuhusu libeneke la wapenzi wengi kuwadhalilisha wapenzi wao wa zamani kwa manufaa yao wenyewe, sijui njaa au ghadhabu la kumkosa mpenzie.

Ili tatizo limekuwa likitokea si kwa mastar peke yake, hata watu wanaotuzunguka katika jamii yetu. Hapa kuna swali kutoka kwa mdau wa Total Knockout anauliza:

Message from sender: Hey sweet..nilikuwa naa idea ya story ambalo pia ni swali ningependa kujua . hivi mtu akiwa na mpenzi wake then waka jirecord wakati wa sex...hivi unaweza kumblock partner wako asiweze kusambaza hizo footage au mpaka muandikishane kwenye karatasi!!! Jlo kaweza kublock ex wake sababu kwenye divorce waliandikishana kama hatouza hizo tape...??? -LI



2 maoni / comments:

Anonymous said...

Watu wanamake hizi tape za ngono because they trust the other person and think they would never hurt them so they allow them to have possession of the tape..bora kutoamini mtu kabisaaaaa!!


hapa kuna majibu mawili yes and no..NO)kama Ex wako akisema hizo tapes was "stolen" the prosecution cannot prove otherwise so huwezi kublock zinaend up kwenye net tu...YES)certainly you can sue ur ex!!! you might have made the tape willingly but selling it or distributing it without ur consent is illegal..

Anonymous said...

my dear it kuandikishana to use or not to use will only work hizo nchi zenu, hizi nchi za madafu our systems are not consistent, wanasheria nao pia wanaweza kupewa chakula etc so it only works kwenye system ambazo ziko respected

Total Knockout Search!!

Custom Search