Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Monday, December 7, 2009

Shopping for Christmas...


Compare to IKEA, Home Depot,  Target have always been my favorite place for home shopping. You can almost get anything you want. On the picture mie (Sunday)yesterday, out and about getting ready for Christmas.  



15 maoni / comments:

Anonymous said...

why r u wearing shades ndani ya duka?huu ni beyond ushamba to be honest

Anonymous said...

Izo nyelezako tu apo akuna cha china wala mavi ya dubai
Mtoto una waka waka

Anonymous said...

mtoto mtamu weye mmhh
nisije nikaitwa lesbian bure mwezngu lakini mvuto 100%

TOTAL KNOCKOUT!!! said...

It was early morning my face was still sleepy. And I just had lipstick on... no make up.

Teddy

Anonymous said...

TK mbona kazi unayo shost? kweli shoga yako anakumind umeona bridal shower yake?? amekugezea kutoka kiplay boy bunny. Kakuona umetoka kiplay Boy kwenye Halloween holiday na yeye akapata idea. hehe he hehe kazi kwako dada unalo hilo

Anonymous said...

Oh no teddy u dont need to wear make up everytime and u dont need shades to cover ur eyes hata mie i concur mdau wa kwanza wearing shades early in the morning and lipstick just for shopping is a no no.

Anonymous said...

wewe anony December 7, 2009 11:51 AM acha ushenzi wewe kwani huyo tk ndio ameumba playboy theme?msonyoooo

Anonymous said...

Mhh makubwa!? You look good TK. The shades..damn gal! Hizo ni zakina Beyonce na Rihana mama nakuaminia

Anonymous said...

With or without make you still cute. Love you sis and them shades yey!!!!!!!!!! mwaa you rock

Inviolata said...

TK, you are very beautiful lady, with or without make up! We kama mzuri mzuri tu umevaa miwani hujavaa, asubuhi au iwe usiku mie naona sawa tu. Huwa naku-admire my dear. You have achieved what most of us could'nt. Haters are always there ignore them endeleza libeneke. Love u baby girl!!

Anonymous said...

Babygal kucha zako tu haha kweli nimekukubali we ni mrembo kila kona

Anonymous said...

Play boy idea?? ofcoz she copies Tk. nothing strange she is a copycat wanna beez btch gotta be real to herself she copies everything from tk who doesn't know that? msonyo wewee

Anonymous said...

TK nywele zako ni kama zile za kina Tyra? zinaonekana vizuri sana bora ulivyozitoa zile nywele cheap za malaika lol zilikuwa hazikupendezi kwa kweli!!!!!!!!

Anonymous said...

Hey nyie watu acheni ufitini; Kuna watu hpa ambao ni wachochezi tu kazi yakuona watu wanatukanana ktk mitandao! Teddy usishindane na mtu bwana....na nyie wambea acheni umbea mtasutwa..

Anonymous said...

My Maoni :) Wow! What a cool looking chick! if only i could have a peek at what's in her basket! I need more TK! <3 <3 <3
Miss Camisha

Total Knockout Search!!

Custom Search