Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Tuesday, December 8, 2009

Shakira Atembelea Chuo Kikuu cha Oxford...

Shakira ni mwanamuziki mwenye radha ya kipee anayekubalika kimataifa kwa kuwa na sauti ya tofauti kabisa pamoja na uchezaji wake.

Jana alifanikiwa kutembelea chuo kikuu cha Oxford, ambapo alikaribishwa rasmi kuzungumza na wanafunzi kwenye mjadala maarufu wa jamii. Shakira akasema: "Ilikuwa ni fadhila kubwa kuzungumza mbele ya wanafunzi 400, walionisubiri na kukubali kunyeshewa na mvua kwa muda wa zaidi ya lisaa limoja ili kuniona tu, nikipanda jukwaani." check out her "Did it again"video ft. Kid Cude.




0 maoni / comments:

Total Knockout Search!!

Custom Search