true Teddy! nafikiri mtu akiwa bored cha muhim ni kujishughulisha binafsi. maana mie huwa hadi nacheza mziki natokwa jasho nikiwa sina cha kufanya. hali hiyo inanisaidia kutokuwa na mawazo mengi na kunipa nafasi nzuri ya kufanya mazoezi kiasi kwamba naepuka mengi kama nikiwa nimekaa tuu.. ps: i love myself a lot lol:-) smartgirl.
2 maoni / comments:
WOW ni mzuri kweli huyo mdada!!!nimependeza lips zake..lol
true Teddy!
nafikiri mtu akiwa bored cha muhim ni kujishughulisha binafsi. maana mie huwa hadi nacheza mziki natokwa jasho nikiwa sina cha kufanya. hali hiyo inanisaidia kutokuwa na mawazo mengi na kunipa nafasi nzuri ya kufanya mazoezi kiasi kwamba naepuka mengi kama nikiwa nimekaa tuu..
ps: i love myself a lot lol:-)
smartgirl.
Post a Comment