Kama ulishawahi kuona filamu ya Bee ya Obsessed, "u think u r crazy?I will show u crazy" shosti karibia filamu nzima alikuwa kama analenga ukweli wa maisha yake na jigga jinsi atakavyo mkomesha shosti yeyote atakayethubutu kuingilia ndoa yake... na kusema kuwa yeye familia yake haina historia ya kuachika. Yaani kwa ujumla ni full mafumbo!Yote tisa, kumi mama'ake Bee, Tina Knowles na baba'ake Mathew Knowles ambao wamekuwa kwenye ndoa kwa miaka 29 sasa. Kama ulishawahi sikia ndoa yao imekuwa ikiyumba yumba na hata kuanza kusumbuliwa na maskendo ya ku'cheat (ilikuwa siri)na ndipo hapo leo kuamua kuiita mwisho.
1 maoni / comments:
ni kawaida ..watu hupendana wakiishi muda mrefu huweza kuchokana. yapasa uvumilivu but naona kwa hawa imekuwa ngumu.
Post a Comment