
Yaani hapa ndio utajua kuwa kumbe kweli wadada wakiafrica ni warembo zaidi. Unajua kwanini nasema hivi!?... wa huku bila make-up hakieleweki. Afrika wadada bila hata make-up ni wazuriiii kuliko... tena hizi make up kwa sisi waafrika wakati mwengine zinatuchoresha tu na kutuletea chunusi... basi tu, hatukubali kupitwa!:)Pichani shosti Kim Kardashian bila make-up...bidada anayehesabika kwenye list ya wanawake wanaotingisha Hollywood kwa urembo.
8 maoni / comments:
duuhh...
kweli Africanz r byutiful..
is this Kim 4 real??
Im working at Marc Jacobs(LA) and u cn imajine all the clients we get etc but i hardly wear make up and my skin is still flawless yani huwa wananichukua sana kwenye photoshoot!they cant believe my skin is that nice
tru dat!wabongo hata ukikuta mtu hana mvuto saana bila make up huwezi mlinganisha na mmarekani bila make up.Ivi umemuona bey bey bila make up?i saw her foto i wz lyk Nuh huuh dis aint bey bey!yani hawana mvuto kama sisi kabisa.
Uyasemayo mpenzi kweli kabisa kuna wadada wengi hapa states hawatoki bila makeup yaani hata wanaweza kulia machozi ukimwambia atoke bila make up. wadada wa kiafrika tuna mvuto bwana mimi nadate a guy from here kuna siku ananiuliza natumia make up gani nikamwabia sijapaka kitu zaidi ya baby powder hakuamini aanza kusugua uso wangu na vidole halafu anaangalia kama make inatoka nikampa na napkin akasugua hola hakuamiani nilisikia tu daaamn you got very very beutiful skin i can't believe u don't wear make up at all mimi mimacho tu nimetoa namshangaa maana kuna siku nilijaribu kupaka nilihisi sura imekuwa nzito mbona nilitoa. kawaida huwa napaka tu poda ya watoto and that's it na umesema kweli make up wengine zinawaletea chunusi ingawa si wote hapo ndo nikajua kumbe mademu wa kiafrika tuna ngozi ngozi bomba bwana
i rarely wear make up and when i do my skin looks xtremely beautiful. I knock all the american boys(tihitihi) yani wengine wanahisi nimefanya plastic surgery. Tznians tuko bomba sana hata ukikuta mtu mweusi sana anavutia na shepu tunazo kuna mmoja aliniuliza kama nilifanya implants..excuse meeeeeee??thats my booteyyy aahahha
me nikishaoga sipaki chochote usoni napaka lotion mwilini tu.
Namshukuru Mungu ngozi yangu ni nzuri.
MAROGOOOOOOOOOOOO
WATASHAAAAAAAAAAA
Sasa hapo hatupodoi ni wazuri tukijipodoa je si itakuwa balaa? ila mkorogo tuache jamani wala hautufai kabisaaa I hope kina Mai wananisikia
i have a bad skin pimples zinaniharibu but nikiclear huwa napendeza. Got oily skin, what should i go for guys for a flawless skin like urs?
Post a Comment