mhh!kwa kweli mie naona ni kutojiamini. kumpiga kofi mumeo kisa amemwangalia mwanamke mwingine.. mie bado kabisa sijui mme wangu anifanye nini ndo nimzabue mabao. kama unajiamini unapendwa na unajua kama kuna wazuri na wenye kuvutia zaidi yako kwanini asiangalie? macho hayana pazia. hata ie nikiona mwanaume ambaye anavutia wala sisiti kumwangalia na mara nyingi huwa namwambia mme wangu jamaa ananikuna ama nae huniambia cheki yule mwanamke inaelekea mtamu. basi mnaishia kumeza mate na siku imeisha. wivu wa nini? mungu wangu watu tupo tofauti kweli.. smartgirl
1 maoni / comments:
mhh!kwa kweli mie naona ni kutojiamini. kumpiga kofi mumeo kisa amemwangalia mwanamke mwingine.. mie bado kabisa sijui mme wangu anifanye nini ndo nimzabue mabao.
kama unajiamini unapendwa na unajua kama kuna wazuri na wenye kuvutia zaidi yako kwanini asiangalie? macho hayana pazia. hata ie nikiona mwanaume ambaye anavutia wala sisiti kumwangalia na mara nyingi huwa namwambia mme wangu jamaa ananikuna ama nae huniambia cheki yule mwanamke inaelekea mtamu. basi mnaishia kumeza mate na siku imeisha. wivu wa nini? mungu wangu
watu tupo tofauti kweli..
smartgirl
Post a Comment