Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Tuesday, December 15, 2009

Lafudhi Yangu yauza Marekani!

Kwa taarifa yako tu... Hakuna kitu kizuri duniani kama kujivunia ulikotoka au ulichokuwa nacho. Kwa ujumla ni kujitambua kuwa wewe ni nani na una manufaa gani hapa duniani. Kiingereza ni moja ya lugha ya kigeni ambayo inatumika kimataifa kibiashara n.k lakini inapokuja kuzungumzia matamshi (lafudhi) inaweza kutamkika tofauti kutokana na lugha ya mtu anayezungumza kutoka nchi fulani (mother tongue). Kwa wenye upeo mdogo wa kuelewa uwa wepesi kuwajaji watu kuwa hawajui kiingereza pale tu anaposikika kuwa na lafudhi.

Nikikurudisha kwenye mada ni kwamba mimi kama mwafrika mtanzania halisi, najivunia sana lugha na lafudhi yangu. Pamoja na kwamba niko ugenini lakini kamwe sijifanyi na yo' yo' nyingi, w'sup w'sup, popote pale hasa niwapo kazini. Nazungumza nizungumzavyo na nauza, au mpaka character ninayoicheza ihitajike kuzungumza kama wao. Na tumeweza kuona kwenye tangazo la McDonalds la mashindano ya Olympics "If you wanna chicken for breakfast", nilipewa gigs kwasababu nilitumia lafudhi yangu kwenye auditions.

Hii ni kwa vijana wenzangu mnaopenda maendeleo nasema; msife moyo. Jivunie ulichokuwa nacho na jivunie ulipotoka. You can be whoever you want to be sehemu yoyote duniani.
And don't let a crazy hater stop you. Whatever they say, they can't stop TK from doing her thing!...mi nawadharau na kupangusa mabega tu!!! Because I know haters are such jokers. Wao kazi yao ni kunenea watu maneno ya uongo, kufurahia kuona ukishindwa. Hawana utofauti na watumishi wa shetani!

Pichani Teddy Kalonga studioni leo, Santa Monica nikifanya "voice over" ya mradi mkubwa tu wa PUR water. Ha ha ha ha! Oooh I love this! Hey, haters!lol...

30 maoni / comments:

Anonymous said...

I think that, people wish to be where you are now!I have been in America for 3yrs and I speak "with my accent" too.People think that speaking like "rappers" is a big deal in US, not at all! That is a lower class English.For immigrants if You speak with accent is ok as long as you pronounce words clearly! Don't mind minor things "wasomi watakuwa wao bwana". Thay are nothing than human beings who follows other people's business! You do not need replky for whatever they say cause wanakalia majungu tu na Mungu atawahukumu! Sijui hawana kazi ya kufanya I hate maugomvi yasiyo na maana!
Mdau, US

mina said...

TK
Uko juu mbaya fanya kazi mama na achana na malimbukeni kwanza hawana sifa yoyote mzuri zaidi ya mbaya tuuu! Nazimika na kazi zako ile mbaya yani upo kikaz zaidi!

shamim a.k.a Zeze said...

imetulia iyoooo kamua dada kamuaaa mpaka kieleweke....NIMEIPENDA IYO YA KUWAPANGUSIA BEGA

mdau fin said...

DEAR TK kula mzigo kwa kwenda mbele. usiangalie nani kasema nini kwani wakatishaji tamaa ni wengi kuliko wapenda maendeleo ya wenzao... all ze best:)

Anonymous said...

Congats Girl,
All the best.

Pam

Anonymous said...

TK ni mladi au mradi? Kitu muhimu when you publicise any writtings make sure you do some spell check dear.

Mimi si hater wala sijawahi changia humu ni katika kuelimishana tuuu.

Anonymous said...

word up babe..ni mie yule yule fan wako u knw the 1 hu alwayz stick by ur side n give u nice advice) hata mie nipo abroad and i have come across so many obstacles ppl pulling me down tellin me I CNT kwenye nchi za watu..mbona other nationals wanaweza?who r they..YES WE CN let no one "KILL" ur dream..go fo WHAT U BELIEVE IN and u will ACHIEVE IT. Luv u lots..

"the 1 n only"

Anonymous said...

Kwanza kabisa Mungu hakosei hata sikumoja kama bahati yako ipo ipo tu hata mtu afanyaje hawezi kukubadilisha..na isitoshe mimi naona wao ndiyo washamba coz wanataka kujifananisha na kitu kisichowezekana...tujivunieni lafudhi zetu Watanzania nyie hamuoni hao wazungu wakiwa wanatengeneza movie yenye story za Africa na wao wanataka kuongea lafudhi ya Kiafrika..angalia kama Fat girls...hotel Rwanda mwacheni Teddy anabahati na hakuna mtu atakaye weza kumwaribia bahati yake..cha msingi kaa chini na ujiulize mwaka umeisha na umeshafanya nini cha Maana au ni Majungu tu ya kuangalia TK ameshaweza kuongea yo yo Man Waz up...lol

RTL

Anonymous said...

TK ndugu yangu hauna sababu ya kucomment kuhusu hao haters, vitendo na mafanikio yako tu vitawasuta. Ukishindana nao maneno nawe utawekwa kundi hilo, we endelea na mambo yako.

Anonymous said...

m speechless with your words TK...m soo happy for you and wishing u the very best to succeed in your life.tuwakilishe watanzania huko uliko na kazi yako nzuri na tatizo la sisi wabongo ndio kutakiana mabaya haters wamejaa bongo hawapendi mtu akiendelea tatizo ni kukosa kazi ya kufanya so keep ur head high and do your thing my dear...

ck said...

Hongera TK, keep going!

Anonymous said...

you are an amazing woman! Another great post!!!To speak another language is such a gift...whatever accent you have. To live, love and thrive in another country,WHAT A LIFE!!!

love u Bff!!!

Anonymous said...

Good for you girl!

Anonymous said...

You are right TK, I too have been in the states for about 5 years now and i still have that accent and guess what people love it. I get compliments almost everyday at my work place and i proudly say that i am from Africa with that Tanzanian accent. You go girl, i wish i would be able to get in touch with you and speak to you face to face and tell you how proud i am of you coz you rock!!!!!!!! someday may be. keep it up!

Samia said...

This is what I like about you TK. You truly self! I've confident in you TK. I feel proud to be your fan and I will always be

Go girl!

Candy1 said...

Personally kwasababu nazungukwa na watu wengi wanaoongea "Cockney" accent I just caught it...it happens ila wengine they force it (which is weird)...and keep doing ya thing TK...u neva knw mayb there r so many young girls looking up to you xx

Anonymous said...

HABARI NDIYO HIYO!!

Anonymous said...

Tk nakupa hongera sana kwa mafanikio yako ila nina swali, si unanijua mimi mama andrew kwa ushamba na ninakuamini wewe kwa sababu hiyo ni kazi yako, kwani hapo unapoingiza sauti, hilo litakuwa tangazo la radio au tv na kama ni tv, litakuwa katika form ya animation au watatumia mamodel wengine ambao watakuwa wanaonekana kama ndiyo wanaoongea lakini sauti ni yako, au uwaga wanatengeneza tangazo kwanza ndiyo unatia sauti, au hizo bidhaa zitakuwa zinaonekana lakini on the background sauti yako ndiyo itakayokuwa inasikika? samahani mdogo wangu nataka kuelewa, unajua noonaga actors wakitengeneza hizo muvi za animation huwa wamesimama hivyo kama wewe ndiyo maana nataka kujua ukinielimisha mimi utakuwa umesaidia wengi wasioelewa

Asante,

fun wako mkubwa

Mama Andrwe-Dar es salaam

Anonymous said...

KAmua mtoto wa kike na habari ndio hiyo mambo ya kutaka kujifanya umezaliwa na wenye nchi yao hayanogi ni vizuri kuwa wewe kama wewe

Kuiga kubaya keep it up mama na inshallah Mungu yupo pamoja nawe in everything you do

Love

Mama Karen

Anonymous said...

Teddy mdogo wangu nakubaliana na wewe kwa ki -principle.Ni kweli kuzungumza lafudhi kama ya manegro hiyo sio manake unafahamu kiingereza.Ni kweli kwa hilo nami nakuunga mkono.Lakini kuongea kwa lafudhi ya kiingererza ili hali unakifahamu kiingereza ni jambo la kuzingatia sana na ni muhimi -kwa maoni yangu mimi binafsi.Najaribu tuu ku-share na wewe au la kukukumbusha mdogo wangu .Kwa sasa bado huja fika ktk kiwango cha kukataliwa kazi na mastudio makubwa wazi wazi sababu ya accent na hata unapoleta habri ya coach au kale kamtindo ka Benderas na British actors ka kumwambia mzungu mmarekani (professionals) arekodi dialogue kisha wewe uigize -Teddy,kuna wakati mastudio hawataki kuskia hilo.na kama utafanya ili upate kazi basi ni kwa gharama zako.Mimi naishi Canada na nipo ktk mambo ya sinema/animation/sfx. Siyo actor sina hicho kipaji.lakini hata canadaians (whites) akina kiano /sutherland/macadams-not too sure about her name na wengine wengi walipata shida kupata project zilizolimgana na vipaji vyao na awali walikuwa wankataliwa na kubaguliwa wazi wazi sababu ya accent.hivi sasa kuna walimu wa accent kadhaa hapa Vancouver na hollywood ajili ya kukoach Canadian actors American accent.nafikiri kama isingekuwa muhimu most canadian actors wasingepoteza pesa juu ya hilo.Djimoni analifahamu hilo vizuri hata actors wengi wa uk pia . dada yangu sasa hapo ukiona wenzako wannyolewa wewe tia maji Ofcourse Kama utangangania accent yako utapata kazi Teddy sababu kipaji unacho sio siri lakini most of it itakuwa ni stereotypical .yaanai kwa role fulani fulani ambazo yes accent yako itahitajika.Kwa maoni yangu ni jambo zuri kuhifadhi accent yako popote uendapo kwa kuwa hasa hiyo ndio wewe halisi lakini kutokana na kipaji ulichonacho na kwa mahitaji ya kuendeleza kazi zako si vibaya kujifunza matamshi ya kizungu au kiingereza cha marekani -sina maana ebonics/slang/broken english ya africa americans/ghetto english, call it anything !.Benderas amesema wazi kabisa ana accent mbili ya kuwaplease mastudio ya hollywood yaani ya kitchen table issues na ile ya kispanish yaani kiingereza kwa lafudhi yake halisi ya asili ya uispania.Teddy mdogo wangu usijilimit kazi na lucrative projects
kwa fahari ya accent yako ya halisi.MImi maoni yangu ni kwamba hakuna ubaya tena ukilijua hili mapema ni vizuri sababu wewe bado ni kijana sana na hollywood certainly needs you!
Kazi zako ni nzuri,unachonifurasha zaidi Unajituma na unfanya kazi kwa bidii.Teddy mimi naona kabisa mabinti zangi wakifurahi kukuona ktk silver screen au big Tv networks miaka michache tuu ijayo
Kila la kheri
Samahani kama nimekukwaza au nimelipuka -way off the subject.sometimes egets out of control
whatever hapened to your TV channel?
Ernesto
Vancouver

lu said...

we demu nakuzimia hapo tuuuu.,.......haterz wanalo...

Anonymous said...

Mi nadhani TK unawamind sana hao mahaters na unawapa nafasi kwa sana...ndo maana maneno mengi yanakutoka, hukuwa na sababu kuandika kuhusu haters...kwa maoni yangu ungetuhabarisha nini ulichofanikiwa na kwasababu gani umefanikiwa na kumshukuru Mungu kwa hilo na bila kusahau mafans wako....unajua duniani si kila binadamu atakupenda au atapenda maendeleo yako, tena ushukuru hao waliojitokeza wazi unaweza kuwaepuka, je wajua hata wa karibu yako anaejidai anakupenda anaweza kuwa hater wako mkubwa? nitakupa mfano na kisa cha kweli mimi nimeshaona baba mwenye nyumba anafanya kila kitu ili mkewe asiendelee tena anamwangamiza kabisa na huku akisahau yale maendeleo ya mkewe ni msaada kwa watoto wao wakuwaza? sasa itakuwa sie binadamu wa pembeni tunaokuzunguka tukupende au tuache kukuchukia? kwa ushauri wangu stop this hater things just stop n do ur things na sie tusiopenda maendeleo ya watu tuzidi kuumia..huo ni ushauri wangu wabure!

Anonymous said...

mi nadhani kama alivyochangia mdau aliyepita hebu achana na habari ya haters, kwanza nadhani ni ngumu sana kujua hater ni nani ni yuko karibu yako kiasi gani, mimi sikujui ila nafurahishwa na bidii katika kila unalolofanya hivyo unachotakiwa ni kuomba mungu azidi kukuwezesha na kama untakuwa uko buzy sana sidhani kama utapata hata muda wa kudiscuss hao haters na kujua kama kweli wapo. mtangulize mungu achana na mambo ya uswahili wewe uko anga nyingine kwa sasa.

Anonymous said...

love u TK unachapa kazi safi sanaaaaaaaaaa acha na na hao mahaters yamewashuka shuuuuu sura kama pilitoni lol!

Anonymous said...

tk, mbona you are blowing your own trumpet? kwa nini usiache watu wakakusifia? unajifanya uko proud na accent yako, mbona hu-display what makes your accent? kwa kweli wewe ni binti mdogo na u have got a long way to go.usianze kujifanya wewe sijui ndio maarufu sana.
uko ambitious sana, unapenda mambo makubwa bila kuangalia what they take. hao wanaokusifia wanakuvimbisha bichwa, hawakuambii ukweli ndio wanaozidi kukupoteza. siku ukiharibu watakua wa kwanza kuanza kukucheka. amka, acha kuvimbishwa bichwa na sifa za kijinga na hao wanaokwambia you go girl. ni hayo tu.

Anonymous said...

Fan of urs. Kila la kheri bidada. Ufanikiwe na dreams zako zote ziwe reality, achana na haters they ll only bring u down so middle finger up and live ur life to the fullest.

Anonymous said...

We anon hapo juu uko dunia gani. Asubiri asifiwe na nani tena na kitu kiko wazi. Kunawatu wengi sana wangewish wapate deal za ku-advertise sasa TK amepata hiyo deal inaashiria nini- (She is unique in a certain way). Trust me kama uko Marekani huitaji tu kipaji unaitaji guts na moyo wakuto- give up maaana kunakukatishwa tamaa and all kind of stuff. Kama ameona achievement yake mwache afurahie matunda yake.Tk do not wait mtu akusifie unaona mafanikio yako be proud of it. Ukipata "A" darasani unasubiri mtu aje akuambie hongeraa? Whether wanakusifia or not UKWELI NDIO HUO!!!!!

Anonymous said...

Congrants TK u got it all, you knw what!i love u and what ur doing b'coz it inspires a lot.Iam one of ur secret fans but i now want to reveal myself to you,here my e-mail address is leyy12006@yahoo.com i'm a Tanzanian lady would really like to get in touch with u though i know ur kinda busy gal but i'm ready to wait.
KEEP ON REPRESENT TANZANIA AND BE A GOOD AMBASSADOR DONT GIVE A DAMN ATTENTION TO HATERS.GO GAL!!!!!!

Anonymous said...

luv u.

Anonymous said...

I love your work

Total Knockout Search!!

Custom Search