Kwanzaa ni siku kuu ya wamarekani weusi ilianzishwa na Ron Karenga mwaka 1966, na kusheherekewa siku saba Dec' 26 mpaka January 1st. Ikiwa na lengo la kujenga umoja katika jamii ya watu weusi wamarekani na waafrika wote duniani. Siku kuu hii ikiwa imepewa jina la Kiswahili huku ikibeba nguzo nzima na dhumuni ya kusheherekea Umoja, Kujichagulia, Ujima, Ujamaa, Nia, Kuumba, na Imani.

Nguzo Saba ya Kwanzaa: Umoja (Unity): To strive for and to maintain unity in the family, community, nation, and race.
Kujichagulia (Self-Determination): To define ourselves, name ourselves, create for ourselves, and speak for ourselves.
Ujima (Collective Work and Responsibility): To build and maintain our community together and make our brothers' and sisters' problems our problems, and to solve them together.
Ujamaa (Cooperative Economics): To build and maintain our own stores, shops, and other businesses and to profit from them together.
Nia (Purpose): To make our collective vocation the building and developing of our community in order to restore our people to their traditional greatness.
Kuumba (Creativity): To do always as much as we can, in the way we can, in order to leave our community more beautiful and beneficial than we inherited it.
Imani (Faith): To believe with all our heart in our people, our parents, our teachers, our leaders, and the righteousness and victory of our struggle.
1 maoni / comments:
BIG UP TKC.
Kila la kheri, TKC, BABY CHEUPE, NA WADAU WOOOOTE
disminder
Post a Comment