Hizi ni baadhi ya picha zilizopigwa wakati wa shooting ya video mpya ya AY inayoitwa "KINGS AND QUEENS" aliyomshirikisha JOKATE & AMANI kutoka KENYA.Wimbo umetayarishwa na Super Producer HERMY B ndani ya Studio ya B.Hitz Music Group na kufanyiwa video na OGOPA DEE JAYS toka Kenya.Video ilifanyika Jijini Nairobi na inategemewa kurushwa wiki ijayo MTV BASE na vituo vingine ndani ya Afrika Mashariki.



AY said: "Wimbo huu nimejaribu kufikisha fikra zangu kuwa MWANAMKE WA KIAFRIKA NDIE BORA KABISA NA NAJISIKIA FAHARI SANA KUZALIWA NAO NDANI YA BARA MOJA."
na kuongeza: "Kama nilivyosema, TUNAUFUNGA MWAKA NA KUUFUNGUA NA MZEE WA COMMERCIAL basi subirini mambo makubwa toka kwa MZEE WA COMMERCIAL AMBWENE YESSAYAH MWENYE KIU YA KUWAKILISHA TANZANIA NA AFRIKA YA MASHARIKI KWA UJUMLA KATIKA ANGA ZA MBALI."




1 maoni / comments:
Ay na jokate wamewaka mpaka basi. Wote si wako singo? Kwikwikwi
Post a Comment