Jennifer Hudson mwigizaji mshindi wa tuzo ya oscar "Best Supporting Actress 2007" Dreamgirls movie ambaye yuko kwenye chart kwa uwigizaji wake wa mikeke ya ukweli. Hivi juzi juzi alichaguliwa kucheza filamu inayohusiana na maisha ya Winne Mandela, iliyoandikwa na Anna Marie du Preez.
Habari kutoka kwenye mkutano wa media uliofanyika weekend iliyopita, inasema kuwa mwaandaji na m'bunifu wa "Umoja wa South Africa" amesema kwamba, kumtumia mwigizaji mgeni kuelezea historia ya nchi ni kuharibu(kuuwa) maendeleo ya taifa katika biashara ya filamu. Mabutho Sithole, rais wa Umoja akaongezea kwa kusema : “It can’t happen that we want to develop our own Hollywood, and yet we keep bringing in imports,"... Na kusema kuwa Africa pia kuna waigizaji wengi wenye vipaji kwanini wasipewe nafasi ya kuigiza sehemu hiyo.
Filamu hiyo itakayo tengenezwa na mtegeneza filamu "msauzi" Darrell J. Roodt, ambaye anajulikana kwa kusimamia filamu mashuhuri kama Cry, The Beloved Country na Sarafina.

14 maoni / comments:
Teddy, kuna mtu anayekuadmire kafanya kitchen party yake, watu ni wachache sababu hana marafiki na picha zimepigwa kijanja kuficha uchache wa watu
It is true, why choose someone from outside while we have people here in Africa who can fit in well with that position?
Teddy nakuomba usipost comment zozote zinazohusu upande wa pili I mean rival wako kwa kuwa kuna watu wanaotoa hizo comment makusudi ili waone reaction za upande wa pili so please stay quite mwisho wa siku wao wamekaa pembeni wakiangalia please usipost hizo comment kabisa kama huyu anony wa kwanza mada ninyingine ye kishatumbukiza ujinga wake hapa
respect
Mama G
Hi... Looking ways to market your blog? try this: http://bit.ly/instantvisitors
We anonymous wa kwanza ni hasidi.kwani huyo teddy mwenyewe hana macho.Mbona mnakua mko hivo??Sasa kama kuna watu wachache teddy anahusika vipi?Tk hawa watu wanashusha hadhi ya blog yako.
Ni kweli I agree, yaani tumlete mgeni kufanya maigizo ya africa, its a NO NO
it is just a movie!!! what is the fuss all about...I wouldn't mind someone like Denzel Washington playing Nyerere...its my opinion anyway
Nakubaliana na huyo aliyepinga ni kweli Mbona kunam wasouth wazuri tu na jamaa wana vipaji?!au walichoangalia hao waandaaji ni nini labda?!au kwa vile J.Hudson?!au vile ana oscar so wanajua watauza?!It doesnt make any sense.
Hapa naona UKWELI na UNAFIKI katika hili. Niliona jinsi Whoopi alivyocheza vema kwenye Sarafina na nadhani yeye ni Mmarekani. Lakini pia kuna ukweli kuwa kuna waigizaji wengi wazuri Afrika ambao wanaweza kuigiza nafasi ya Winnie. Labda kama tatizo ama lengo ni MAUZO YA KIMATAIFA kwani kumtumia Jenny ni kujipunguzia gharama za utangazaji.
Kwa kumtumia yeye tunajua kuwa channel nyingi hapa zitamzungumzia na kuizungumzia movie hiyo na hivyo kui-expose kwa umati mkubwa na yaweza kufanya vema hata kwenye tuzo.
Kwa hiyo linaloweza kufanyika hapo ni kutumia wazalendo weeengi na huyu nyota wa nje ili kuwawezesha wale watakaoshiriki kuonesha vipaji vyao nje ya Afrika.
Yaweza kuwa connection ya kupata deals za kucheza filamu huku.
Asante kwa hili Dada
Blessings
Wee anony wa kwanza acha uchochezi Teddy keep your head high usi comment lolote, napenda jinsi unavyojiheshimu usiingie kwenye ujinga. Chema chajiuza kibaya chajitembeza you have more important things kuliko upuuzi kama hana marafiki sasa teddy yanamhusu nini?
tedy naomba ingia kwa miss vimbwisi usome waraka aliokuandikia. Mbona anakutafuta sana?kwani we umemuongelesha?tutaanza kumshushia mikombora sasa hvi. Bladi nyau yule!
I have no idea what is that all about! I respect the people who leave comments here, as long as they don't abuse anybody. Whatever they say I don't think if they criticize anyone. Is just their own thoughts. She should relax! Why takin' personal.
Teddy
We call that playing with emotions. Kuna watu wanamjua mtu vizuri sana wanamwambia ujinga then anakurupuka. Watu wachonganishi sana, na lengo ni kuharibia. Teddy, chill na kaa kimya. Ukibishana na chizi utaonekana mjinga.
anyway usijali tk tuemmshambulia naona ametoa ka waraka kake kweli ni upuuzi kutaka kushindana bibi harusi presha bado inampanda tu jamani si anaolewa na yeye?ah anyway
Post a Comment