Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Wednesday, November 18, 2009

Z HOVAK Ready to Party!!!

On Saturday Nov 21st Z HOVAK will be having a sales party and they are welcoming anyone who has passion for Z-Hovak style. I'm one of them of coz , pia mwanamuziki Solange Knowles, California Latino Raper Mexia, na watu maarufu wengi wanaopenda hii style ya mirangi rangi watakwepo. Location: 8350 Santa Monica Blvd. Suite # 105 West Hollywood, CA 90069 PH: 323-656-6995
By the way, umeona kivazi cha Diva BK kwenye hii video yake ya "video phone"!?... kuna baadhi ya vivazi amevaa vinafanana na style ya Z Hovak. Sina uhakika lakini, ngoja nifanye uchunguzi zaidi nije nikupe info madhubuti. Lol!...

0 maoni / comments:

Total Knockout Search!!

Custom Search