
"I remember hearing this like 7years ago but I never really took it seriously".According to mwana gynecologist wa Hollywood Dr. Lisa Masterson "thong bikini" kama ukiwa unazivaa kila siku inaweza kukuletea matatizo makubwa kiafya sehemu nyeti. Yes,.. it favors the development of yeast vaginal infections as well as urinary infections. So, I guess we know when and where to wear, or like ukiwa na mtu Mr. wako! How is that?! lol...
5 maoni / comments:
WEWE UKO JUUU DADA
watashaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
kula nchi waonyeshe wavimba macho kwamba unawezaaaaaaaaa
disminder
Hizi ni za kurahishisha kazi mwanamke anakua tayari wakati wowote na popote bila haja kuvua nguo zote.
ni kweli kabisa hizo chupi mwenzangu ni za kuogopwa na kama unazipenda sana basi ni bora uzivae wakati maalum tu mimi hilo nalijua toka kitambo na kuna shosti yangu mmoja nilikuwa nikimuimbia ananiona mshamba maana yeye chupi zake zooooote ni g string hana za aina nyingine it's really not healthy ladies there are so many ways to be sexy apart from wearing g-string if that's the case mtapata ukurutu huko chini sijui hapo hata kama tena mtakuwa na hamu ya kuvaa hizo chupi tena mmeshaanmbiwa na gynocologist kuhusu madhara sasa kazi kwenu warembo
rafiki yangu alikuwa anavimba kule chini akaambiwa aache kabisa hizi.Kwanini msivae thongs?mi daima navaa htongs maana ni nene kwenye KIDUDEZ ila hizi hapana..
Thong thong thong thong thong..... paging Cisco
Post a Comment