Ingawa bado sijapata nafasi ya kutembelea miji mingi U.S, lakini kati ya michache niliyotembelea napenda Las Vegas. Mji uliojaa starehe, mji ambao hauna usiku wala mchana ukizungumzia pande ya kujiachia. Ila cha ajabu ni kwamba mie sio mnywaji, sio m'gamble'ji, na sio mtu wa totoz...ha ha ha lol! lakini nina'enjoy Vegas. Nikienda huwa nina nyanda zangu za kujiachia... Pichani jana jioni Nevada, Vegas. "Na ya chini kabisa bibi kama wa miaka 100 hivi alikuwa busy aki'gamble huku anatetemeka kwa uzee... I wonder kama akishinda sijui itakuwa, si anaweza kuzirai jamani!?"...lol!
10
maoni / comments:
Anonymous
said...
i loved nevada as well nilienda kutembea wow.had a blast. Its good touring the world sasa tembelea Paris kama hujawahi im here untill christmas and having a ball by the time narudi bongo ntakuwa nimetakata kishenzi
Whatever happens in Vegas stays in vegas...Huyu kibibi hata akizilia hakuna mtu atasema..lol You can do crazy things and nobody will no once you leave Vegas because so many crazy things happen there that even if anyone does actualy notice they won't care enough to tell..Vegas baby!! im glad ulienjoy
Hivi mwenzangu umempa nini Mungu yani mimi hata ndege sijawai kupanda nakuonea raha kama nini nikiona unasafiri huku na kule....yani siku nikija majuu nitafurahi sana hata nikiishia Airport tu..Hongera sana na niombee na mimi kwa Mungu siku nione ulaya kabla sijafa jamani kha!
simgambleji= sio mcheza kamari. airport= kiwanja cha ndege
Samahani najua huu ni uwanja wako ila huwa sipendi/nachukia/n.k. watu wanaochanganya lugha. Kama unaona kuna zaidi ya maneno mawili ambayo hujui tafsiri basi badili lugha nzima lakini sio kuchanganya lugha. Las Vegas ni uwanja mzuri wa kustarehe. Ila ukipata nafasi nenda visiwa vya Caribbean unaweza usirudi tena U.S hahahahah.
Hah...Shamim...America got talent ...i love d show... nasubiri kuona yatakayojiri in Vegas esp yule dogo wa miaka 9..anaimba si kitoto..@T.K thnx 4 letn us know whts happenin in Vegas)
Kula raha mama ala! i love vegas i love to gamble and not afraid to lose tangu nikiwa bongo i love to gumble i think i'm addicted and i love my life yaani i do live for the day and never care about tomorrow who knows i might be dead so naponda raha tu live my life to the fullest i don't even remember how many times i've been in vegas one time i amost wanted to get married too hahaaa i just love it and i will keep on visiting and not even regret it
Mweee Shamim kumbe nawe huwa waangalia kile Kipindi, mi nakipenda ile mbaya, na kweli yule mtoto wa miaka 9 ananifurahisha sana na mamake pia ni mwingi wa machozi

10 maoni / comments:
i loved nevada as well nilienda kutembea wow.had a blast. Its good touring the world sasa tembelea Paris kama hujawahi im here untill christmas and having a ball by the time narudi bongo ntakuwa nimetakata kishenzi
Whatever happens in Vegas stays in vegas...Huyu kibibi hata akizilia hakuna mtu atasema..lol You can do crazy things and nobody will no once you leave Vegas because so many crazy things happen there that even if anyone does actualy notice they won't care enough to tell..Vegas baby!! im glad ulienjoy
Hivi mwenzangu umempa nini Mungu yani mimi hata ndege sijawai kupanda nakuonea raha kama nini nikiona unasafiri huku na kule....yani siku nikija majuu nitafurahi sana hata nikiishia Airport tu..Hongera sana na niombee na mimi kwa Mungu siku nione ulaya kabla sijafa jamani kha!
simgambleji= sio mcheza kamari.
airport= kiwanja cha ndege
Samahani najua huu ni uwanja wako ila huwa sipendi/nachukia/n.k. watu wanaochanganya lugha. Kama unaona kuna zaidi ya maneno mawili ambayo hujui tafsiri basi badili lugha nzima lakini sio kuchanganya lugha.
Las Vegas ni uwanja mzuri wa kustarehe. Ila ukipata nafasi nenda visiwa vya Caribbean unaweza usirudi tena U.S hahahahah.
Mungu atakujalia utaenda just have faith.
disminder
kumbe pananoga eee ...naangaliaga American Got Talent, wale washiriki waliambia ur goint Las Vegas...Wanaruka nusu wany...
imetulia kula raha maa life is too short...na maisha yenyewe ndo haya haya tunayoishii

Post a Comment