Week mbili tatu zimepita tulipata nafasi ya kushare mawili matatu juu ya utunzaji ngozi. Leo nina topic tofauti kidogo, lakini pia na hakika inaweza kukuvutia kama nawe unapenda beauty advintures. Ok basi, tuanze hivi... Beer na afya ya nywele!
Hii kwa mtu ambaye amekuwa aki'lighting nywele zake na bleach, mwenye zenye relaxer, nywele chache au dhaifu. - beer, beer, beer, hata kama wachukia harufu ya beer kama mimi lakini waweza kuitumia kama urembo.
Jinsi ya kutumia: Kwanza osha nywele zako na shampoo ili kuondoa kabisa mafuta, bila kukausha kichwa chukua glass 1 ya beer na uimimine/ipake kwenye nywele zako kama steaming vile, kaa nayo 10-15mins... Kisha osha na maji ya vugu vugu( si ya moto)... na umalizie kwa ku'aply na simple conditioner kwa kuondoa smell ya Lager kichwani. Hukifanya hivyo mara moja kila baada ya week 2, utaona mabadiliko bora!... Kila la kheri!:)
- Posted using BlogPress from my
4 maoni / comments:
hata mimi kuna shoga yangu aliniambia kuwa bia ni nzuri sana kwa nywele ntaanza fanya hivyo..sasa nnatakiwa niitie kiasi gani..nusu kopo au robo maana mi si mnywaji ndo mana nauliza..
Glass 1 ya beer.
haya mashostito nywele hizo.
disminder
YOU ARE ROCKING TK!!! KEEP IT UP!!!!JUUUUUUUUUU!!!!!!!!!!!
Post a Comment