Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Sunday, November 8, 2009

Sunday Beauty Tip: Njia rahisi ya Kuondoa Uweusi Chini ya Macho (dark circles)...

Sivyo kama unavyofikiria:
Siri na njia rahisi ya kuondoa (dark circles under eye) weusi uliozunguka macho ya uchovi kwa kutumia urembo asilia.
Najua wengi wetu tumekuwa tukitumia vyipande vya tango(cucumber), kwa kuviweka machoni.

Lakini je? twafahamu kuwa urembo wa ngozi pia watokana na upumzikaji wa mtu(relax,"no stress"). Yap, hivyo basi kwa uchunguzi wa Total knockout Sunday Beauty Tip leo tumeweza kuona njia nyingine ya rahisi ya kutumia tango a.k.a cucumber.

Jinsi ya kutumia:
Chukua tango 1, kata vipande vyembamba na uviweke kwenye kitambaa chembamba na chepesi sana. Kisha vikusanye humo na ukamua ili upate juice yake. Baada ya hapo, chukua vipande viwili vya pamba kisha toeza kwenye juice hiyo na kuviweka kwenye macho.

Relax kwa 15 minutes.

sehemu ya 2:
Chukua kijiko 1 cha chai cha mashapo ya nyanya, unga wa manjano uliovyafinyangwa kijiko1, juice ya limao ½ kijiko, na kijiko 1 cha unga wa dengu. Make a paste and apply gently. Remove gently with moist cotton pads after ½ an hour.

Kumbuka vipande havi'relaxishi kama pamba iliyolowa. Vyenyewe vinakuwa havina utofauti na kulala na miwani!:)

5 maoni / comments:

Anonymous said...

mashapo ya nyanya ni nini tedy?

Anonymous said...

Asante Teddy for the tip,ila nina swali what is ''mashapo ya nyanya?''

TOTAL KNOCKOUT!!! said...

It's a Pulp.(Pulp of tomato left after squeezing or pounding)
....................................
Natamani kukufafanulia kwa kiswahili sahihi nashindwa kutengeneza neno lengine zaidi mashapo. Labda kama kuna mdau mwengine anafahamu tafadhali tufafanulie.

-Teddy

Anonymous said...

"mashapo" ndio sawa! Ukifianda nyanya, utapata mashapo ya nyanya.

Anonymous said...

Thanks TK + mdau annoymous sasa nimeshaelewa.I am definitely going to try it.

Total Knockout Search!!

Custom Search