Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Thursday, November 5, 2009

Siku kama ya leo; Nov 5

Siku kama ya leo kijana mtanashati Deo Temba alizaliwa.

Happy birthday to you, Happy birthday to you.
Happy birthday dear Deo,.. Happy birthday to youuuuuuu!!! eeh:)

Pichani wa kwanza kutoka kushoto asiye na kofia ni b'day boy Deo Temba katikati shujaa wetu anayetuwakilisha NBA Hasheem Thabeet, na mie walipokuja kunitembelea miezi michache iliyopita.

Happy Birthday Deo!

5 maoni / comments:

Anonymous said...

hahaha
umekosea , kati ni hasheem na kulia ni wewe..

halafu vimbwisi katudanganya about your house eehh?

mbona its seems to be a big house!!

vimbwisi koma, koma, koma tena na tena, uongo hatupendi .

Anonymous said...

You look so different in this picture.Can't put my finger on it...

Anonymous said...

vimbwisi?!lol
bora pazia kuliko bendera kufata upepo!
bora uwe na studio (chumba 1 na choo) ukapaita pako, kuliko leo hapa kwa bamkubwa, hapa kwa ndugu zangu. tuonyeshe kwako vimbwisi na sio kwa bwanako, zuhura shabani kaimba "kuvishwa pete si kuolewa!"

Anonymous said...

HASHEEM.

Hutaki mchumba? please kama unataka me nakuzimiagaaa

Anonymous said...

TK,I love u girl! wanaosema umewakimbia hukuwakaribisha kwako, tell them wa waulize akina HASHEEM kwako kukoje? Maana last week najua walikuwa home kwako, wakijichana mapochopocho.
Keep up the good work TK

Total Knockout Search!!

Custom Search