Pichani kutoka kushoto Meli, Deo Temba, na mdau mie tulipotoka kumuangalia Hasheem Thabeet akicheza katika ukumbi wa "Staples Center" leo mchana. Team yake Memphis Grizzlies ilitoka kwa 88 na Los Angeles Clippers 98.
11
maoni / comments:
Anonymous
said...
ur make up wz a bit too much fo machana love..yani uso umetoka mweupe kuliko mwili au ni photoshop?maana picha ya chini yake imetoka poa zaidi.neway much luv
LOL!!!That's true... Actually I had a wrong powder, was lighter than my skin. Hiyo picha ya nje ina utofauti na ya ndani coz of the light. Outside was cloudy, inside the lights reveal. U know?...
Stamples kweli???Here I was thinking it was "STAPLES". The lace wig does nothing for you.You look way better with the other hairstyles you used to do before. Positive criticism.
Nakupendea hapo mtoto, hata mie nimenotice changes, makeup imekolea ikapitiliza, rekebisha mdogo wangu, wee ni kasweet sana, tena mno!! najua kuna haters watatoka huko na kusema umetumia mkorogo!! ha ha ha haaaa..dont mind them
kuna watu ukiwaandikia kwenye blog zao labda kuna kasoro ya make up au nywele hawapublish.Nimefanya hivo mara nyingi sana tu.That is why i take my precious time commenting here everyday coz najua kwakuwa naandika kwa nia nzuri utapublish tu.Love u tk
nakupa pig up sana TK kwa upendo na ndugu zako, ila hasheem alipokuja hapa sikumwelewa ina maana kiswahili amekisahau namna hiyo manake yani ukiwa nje ukimsikiliza utadhani mzungu anajaribu kuongea kiswahili, mwambie kwa wema tu sisi tunampenda ila nyumbani ni nyumbani aone wenzie wakina hakeem olojuwan na dikembe pamoja na mambo yote olojuwan akiongea utajua tu ni mnaija, ni hayo tu ila tumafurahi mnatuwakilisha vyema and its all gud
11 maoni / comments:

Teddy
Stamples kweli???Here I was thinking it was "STAPLES". The lace wig does nothing for you.You look way better with the other hairstyles you used to do before. Positive criticism.
I don't mind if you telling me the truth. I totally agree with you. And it's cheap too.
nimekukubali tk kwa kukubali ushauri kutoka kwa watu.keep it up hata mimi nimenotice something with the make up na hairstyle.
Kweli nimependa sana jinsi unavyojichanganya na wa TZ wenzako mkawa na umoja kama huo.
BIG UP
disminder
Nakupendea hapo mtoto, hata mie nimenotice changes, makeup imekolea ikapitiliza, rekebisha mdogo wangu, wee ni kasweet sana, tena mno!! najua kuna haters watatoka huko na kusema umetumia mkorogo!! ha ha ha haaaa..dont mind them
Dadako
kuna watu ukiwaandikia kwenye blog zao labda kuna kasoro ya make up au nywele hawapublish.Nimefanya hivo mara nyingi sana tu.That is why i take my precious time commenting here everyday coz najua kwakuwa naandika kwa nia nzuri utapublish tu.Love u tk
Mmependeza TK! I love the way you take good care of my brothers, una roho nzuri sana. Cody is very lucky dear.
Shukran mama B.
nakupa pig up sana TK kwa upendo na ndugu zako, ila hasheem alipokuja hapa sikumwelewa ina maana kiswahili amekisahau namna hiyo manake yani ukiwa nje ukimsikiliza utadhani mzungu anajaribu kuongea kiswahili, mwambie kwa wema tu sisi tunampenda ila nyumbani ni nyumbani aone wenzie wakina hakeem olojuwan na dikembe pamoja na mambo yote olojuwan akiongea utajua tu ni mnaija, ni hayo tu ila tumafurahi mnatuwakilisha vyema and its all gud
much love
mama Andrew
Post a Comment