Pichani chini kabisa supermodel wa kimataifa Naomi Campbell akizungumza na Mke wa Rais mama Salma Kikwete, wakati wa onyesho la mavazi lililoandaliwa na Taasisi ya Utepe Mweupe kwa lengo la kusaidia mpango wa uzazi salama kwa wanawake wajawazito lililofanyika kwenye Hoteli ya Movenpick jijini Dar usiku wa kuamkia leo. Yay!!!
1 maoni / comments:
I can't believe the dress in the second picture from the top auctioned for $10,000! Not that it's not pretty, but it's a dress! :-)
Post a Comment