Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Thursday, November 12, 2009

Me In Notice Magazine.


18 maoni / comments:

Anonymous said...

ngozi unayo bidada!
laini haswa!

Pam

Kz said...

Kool! These photos look nice but they would have even looked better had the mag's been scanned and not camera shot like they are... Nice work anyway!

Anonymous said...

Kazi nzuri umependeza wewe bado mdogo na unalipa!

Anonymous said...

Wale wanaopenda kuiga vitu vya TK waige na mambo haya..wakatolewe kwenye magazine!!! Utashaaaa...!!! Go gal...

Anonymous said...

Kwanza kwa uzuri gani walionao? magezeti kama hayo yanataka watoto wadogo wazuri wenye ngozi nyororooooooookama tk lol

Anonymous said...

vp tk unamfahamu caroline moshi alikuwa mpangaji wenu??? vp yupo wapi cku hz..
hizo picha umefunika bovu mtoto

Anonymous said...

mashallahhhhhhh!beautiful baby girl..ytupe siri ya urembo tupendeze na sie

Anonymous said...

Nice pics.Ila unge scan kama huyo wa juu alivyo sema tupate raha zaidi!!

Anonymous said...

VIMBWISI UTALIA NA KUSAGA MENO.. IGA KUNYA KWA TEMBO UONE KAMA VIMBWISI HAVIJAMALIZIKIA!!!

Anonymous said...

Good work TK! I like the top one

Anonymous said...

u know what i really like your skin complexion-una rangi moja yaani kwanzia kwenye uso wako hadi kwenye mikono and its hard to have that!Keep updating us abt your beauty tips.Upo juu.

Anonymous said...

vimbwisi atatoka kwenye uwazi & ijumaa, lol.

Anonymous said...

vimbwisi atatoka kwenye uwazi & ijumaa, lol.

Anonymous said...

You look stunning my lil sis.

Mama M

Anonymous said...

Nice one! I like ur blog Tk! U r a truly star!

Anonymous said...

tk u r looking good my dear,yan wewe una damu ya ki star,tafuta mshiko kwa jasho lako na si jasho la baba,mashauzi mengi,huna lolote ni tk tu ndio anayekunyima raha na usingizi,wewe tk fanya mambo acha waseme wakichoka wakatafute chanzo cha utajiri wa baba yao!!yani muombe sana mungu ufike sehemu unayota kuwa good luck gal!!

Anonymous said...

WE MZURI DADA

WATASHAAAAAAAAAAAA wale Wakaanga sumu.



disminder

Zai wa Mikocheni said...

I love Teddy Kalonga. You amazing me gal. I bless you.

Zai

Total Knockout Search!!

Custom Search