This is awesome!...Ikiwa chini ya mwandaaji wa Life Project for Africa Father Stephen. Pichani mjini NY hapo juzi; mwanablogger pia fashionista Kokuhilwa Rosemary wa FJ, Russel Simmons, Russel JR, Cali Carlin, Chris Wragge, model Flavian Matata, Janie, blogger Veronica (dada mwenye class), na mke wa Rev. Run Justine Simmons.
walinoga ile mbaya. i like Jennifer, she is so cool with everybody. hana mashauzi same as Flaviana-watu wengine wao kila siku ni midomo tu utadhani hawana kazi za kufanya. you two are really super cool and keep it up. love you. mdau anao wazimikia.
Rumors has it that nowadays FJ does spa tanning every three months to get celebs glow. you women are crazy! FJ wewe binti wa kitanzania achana na mambo ya Hollywood! But you sure look good and know how to dress.
TK mwambie huyo mshikaji wako FJ ametuzibia bwana hatuwezi kuweka maoni yetu kwenye blog yake mpaka tusign in wengine hatuna muda huo. lakini kapendeza sana tu
8 maoni / comments:

Fj is so beautiful but what the world is she wearing??
Fj luks stunnin but her skin complexion has darkened sana tu wats up?
Walipendeza sana.Mko juu!!!
eti dada tk niulize hivi fj anafanya kazi gani..napenda kazi zenu
I love you FJ!

Post a Comment