Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Monday, November 2, 2009

Kwa Pamoja Tunaweza!!!

Tukumbushane jinsi ya kujikinga na Swine Flu, Tanzania.
Ni miezi sasa toka kuvuma kwa ugonjwa huu hatari wa mafua ya nguruwe, ambapo kwa sasa umeshaenea ulimwengu mzima. Leo mie na mdau Codynino tumekaa vijana tukajikuta tunajadili swala hili kwa kuwa ni ugonjwa wa dunia nzima. Nikaona ni vyema kama tukakumbushana kwa pande hii. Tanzania mpaka sasa kumekuwa na kesi ya watu zaidi ya 200 tayari wamekwisha ambukizwa H1N1. Je, twaweza jikinga vipi wakati kinga bado inachukua muda kupewa kila mtu hata hapa Marekani.

Kwa kuwa chanjo zinachelewa, tusifumbie macho... kwani ni gonjwa la ajabu sana, na watu wanakufa kweli tena kwa kipindi kifupi tu.

Njia za kujikinga:
1.) Epuka kujishika sehemu ya midomo na pua ukiwa kwenye mizunguko ya siku nzima
2.) Kumbuka kuosha mikono na sabuni mara kwa mara
3.) Epuka kukabiliana uso kwa uso na mtu ambaye anapiga chafya mara kwa mara
3.) Kama unatumia usafiri wa public ni vizuri ukawa na mask au kitambaa cha kujiziba
4.) Wenye watoto hakikisha unawa'take care kwa kuwaosha mikono yao mara kwa mara na kuwafundisha jinsi ya kuepuka
5.) Hakikisha unakaa sehemu yenye hewa...kama home fungua madirisha
6.) Jitahidi kula chakula cha nutritious kama mboga mboga/ matunda, fanya mzoezi na lala usingizi wa kutosha.

Let's say NO kwa swine flu Tanzania. Kwa pamoja tunaweza!

6 maoni / comments:

Anonymous said...

Asante dada TK kwa pamoja tunaweza kujikiga

Anonymous said...

nzuri , bora concentrate kutoa elimu -tk- 2pe mixed grill!!
asante kwa elimu

Anonymous said...

oooh thanks for the education TK,it was really helpful!Thanks.

Anonymous said...

I had no idea kama huu ugonjwa umefika Bongo. Sasa watu watapona kweli?

tagskie said...

hi.. just dropping by here... have a nice day! http://kantahanan.blogspot.com/

Anonymous said...

Ndio kweli uganjwa huu umefika Bongo!! Mimi naenda kusafisha mikono sasa hivi!! 8~)

http://allafrica.com/stories/200910121266.html

Total Knockout Search!!

Custom Search