Hivi unajua kuwa mikufu ya aina hii shanga zake upatikana tumboni mwa kome (Oyster)?... Mie siku zote nimekuwa nikifikiri zote ni za plastic na zinaundwa na mashine.lol! Read more>>...
Pichani my hubby Codynino kwenye duka la pearl oyster, Vegas.
2
maoni / comments:
Anonymous
said...
Ziko fake ambazo ni plastic na zipo pia original na ni bei kali kuliko mi plastiki. Kabla hujanunua uliza kama ni Pearl original. Na mara nyingi original zinapatikana kwa masonarakwa huku Europe na USA. Kwa TZ sijui.
habari ndo hiyo mtoto mzuri. kuna siku nilikuwa naangagalia bizzare food nikaona andrew zimmer alikuwa singapore kama sikkosei or one of the asian countries watu wanazisaga zinakuwa unga na kula wanassema zinasaidia immune system. halafu ukiangalia the blue lagoon ya brook shield movie ya zamani utaona yule kaka aliyeact nae alivyokuwa anazipata
2 maoni / comments:

Post a Comment