Jioni nikamalizia weekend na rafiki yangu Mark Batson. Batson ni music producer mkubwa hapa Marekani, alishafanya kazi na wasanii wengi ambao tunawafahamu kama Beyonce "Dangerous In Love", Jay Z"Lost Ones", Eminem, Maroon 5, Snoop Dogg, Alicia Keys, Dr. Dre. Game, Nas, 50 cent, na wengine wengi. Jamaa he is a master when it comes to make music. Saluuuuuuuuuute!!!
Pichani nyumbani kwa Batson, akimfua mwanamuziki mpya wa kike jina (nalihifadhi) ambaye kwa sasa anamtengenezea Album.
0 maoni / comments:
Post a Comment