Angalia jamaa anavyoi'feel kazi yake. Pichani na videoni chini akiwa studio na mwanamuziki pia producer Robin Thicke, wakirekodi single "shakin'it" ft. Nicki Minaj ambayo iko nje ya album yake mpya "The Blueprint".
Eh!, halafu umesikia yeye na BK wametangaza kuwa kwenye mkakati wa kutafuta mtoto~!?!.. Aisee! kama nawaona vile, hakuna kulala!lol...
Wednesday, November 11, 2009
When Jiggaman feelin' da' music...
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


3 maoni / comments:
lol..i like that part too..he's the man.
He looks constipated in that picture!
not a so gud luk fo jigga..
Post a Comment