Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Monday, November 30, 2009

Hivi ni kwanini wasichana wazuri sana ni ngumu kupata wenza!?!...

Hapo juzi nimemsikia Rihanna akilalamika kwenye vyombo vya habari kuwa wanaume hawamfuati, kila akijaribu kutengeza "connection" wanamkimbia. Tena alikuwa akiongea huku akionyesha uchungu moyoni, na hii si tatizo kwa Rihanna tu nahakika tunafahamu wasichana wengi warembo wanaotuzunguka wako single. Hivi tatizo nini hasa!?!....I'm just curious. Tunachagua sana au?, tabia zetu?, au Ukali, au ni maringo? ... labda tujaribu kulegeza kamba kidogo...maana naamini tukitaka kupata mwenza tunaweza.


16 maoni / comments:

Anonymous said...

i believe akiingia kwetu tanzania kila mtanzania atamtaka,ol i can say is i think bado they havent opened thea eyez to c the beauty in ha, n if they hav then they dnt av the guts to holla @ tha grl...k.Sultan

Anonymous said...

its not all about beauty!most beautiful women have issues yaniw anasura ila hawana roho wala tabia dats why most women wanaoa au kuwa na wanawake wa zuri kiasi ila wenye full package

Anonymous said...

ahaha! Nacheka lakini ni swali zuri sana umeuliza mdau Teddy.. Wanawake wazuri mara nyingi huwa wana wafanya wanaume kuwaogopa na kutetemeka ka mijusi!!ahaha! Vilevile wanawake wazuri wengi wao wanatabia chafu sana, wanadhani mavi yao hayatoi harufuuu!! ahaha! so you can be as beautiful as Rihanna or Beyonce but if your ATTITUDE STINKS THEN IT STINKS AND NO ONE WANTS TO SMELL IT...AHAHA!
ASANTE SANA.

Anonymous said...

KWANZA HAJIAMINI KANIKERA.
BUT WANAUME WANAKIMBIA DHARAU, WANAWAKE WENGI WENYE PESA HAWATAKI KUPELEKESHWA!!!
hahahahahahaha
PESA ITANUNUA VYOOOOTE LAKINI SI MAPENZI NA KIFO.


disminder

DARCITY said...

WATOTO WENGINE WAZURI!!! ILA WANABOA UNAWEZA UKAFA!!!!!! YAANI WANABOA !WENGINE WANA SURA BILA PERSONALITY !! UNAAMUA BORA UMKIMBIE!!! KWELI KIZURI HAKIKOSI KASORO!

Anonymous said...

Swali zuri sana. Mimi nilikuwa na rafiki ana sura na umbo zuri mno. Ukimuangalia unasema kweli Mungu aliumba. Tabia ni mbaya kupita maelezo. Wanaume walikuwa wanamuacha kila wakati.
Kwakifupi wanaume hawaoi au ku date mtu kutokana na sura. Wana mengi mno wanayoangalia. Utu na roho nzuri ni muhimu mno.Mara nyingi watu wa kati na wabaya wana care sana wenzi wao. Wazuri wanaringa mno na wanajua watapendwa na wengine.

Yusuph said...

Ha ha ha ha Tk swali zuri sana tatizo wasichana wanaringa sana.Kama mzuri mzuri so jaribu kuepuka maringo yasiyo ya msingi.Mbona kuna wanaume wengi wanapenda wasichana wazuri lakini weee Tk jaribu kumtokea uone.

Anonymous said...

mada ni nzuri sana TK, na ninaamini umewakilisha mawazo ya watu wengi sn ambao walikua wakifikiria ki2 km hcho,binafsi naeza sema kwmba wanaume wengi hupenda mwanamke mzuri kwa kumtumia tu, yaani kwa kushow off na kula raha 2, lkn linapokuja swala la a serious relationship, wanaume na mm m1 wapo huwa waoga sana kuwa na wanawake wazuri wa sura na shape. hii ni kwa sababu wanawake wazuri huonwa na watu wengi, so linakuja swali kichwani, km mm nimemuona mzuri watashindwaje wengine. pia wanawake wengi wazuri huwa wanatamaa sana ya kutaka mmb makubwa ili kuugharamia uzuri wake na huwa hawapiendi kua nyuma na wakati, hawapendi mwanaume awe sawa nae au ampite, wana siku zote hutaka mwanaume awe chin, kitu ambacho wanaume wengi hawaezi kuafford.
nawasilisha

Anonymous said...

Attitude...attitude..... Kuna rafiki yangu nivery gorgeous, lakini ana ka attitude and hataki kujifunza kupika. If u can cook, u will keep a man, always

Anonymous said...

Rihanna is aight, I wont call her mzuri sana. Beyonce is more beautiful and got a man. probably she got character issues.

Anonymous said...

mi jamani ngoja niseme,sio kwamba najitetea,nasifiwaga asubuhi mchana jioni na watu ooh we mzuri we mzuri,pia najijua niko mzuri wa kila kitu, lakini i know myself sina maringo wala migojeko,sina ukali wala sijui nini very friendly,down to earth hasa napenda vitu vizuri lakini sisubiriagi kuhongwa hata napiga kazi zangu nanunua vitu ninavyopenda kwa jasho langu,kupika usinipimie kukeep house ndio usiseme kuzuri kusafi sana, lakini bwana hawa wanaume kwa siku waninifuata hata 100 sasa niambie naanzaje kumchagua mkweli kulingana na vigezo vyangu,sio kazi rahisi wengi sana waongo, najikuta nilieona afadhali alikuwa anataka kufunua tu,wengine kutangaza ndoa mapema lakini siku mbili kaingia mitini,na marafiki nao ushauri mbaya nilikuwa na boyfriend alishawahi kushauriwa na wenzie mara kibao ooh we huyu demu mzuri atakuzingua unawawekea watu tu naye baada ya muda ikamuingia kichwani kweli nikamwagwa,yani naongea hapa kwa uchungu wanaume wananichezea mpaka najiona nimebaki skrepa tu,mi naona mara karibia nyingi sisi ni mavictim tu wa tamaa za wanaume wanataka kuona kuna nini basi,na anaona akikuacha utabebwa na mwingine tu yani basi ovyoo

Anonymous said...

Beyonce mzuri hajui kupika anakwambia thxgiving yeye huwa anaandaa maji ya kunywa tuu na bado kaolewa na kamkeep man wake, wako watu kibao wanajua kupika wazuri na bado wala hawaolewi so go figure is behavior, unaweza kuwa na yote hayo behavior mbaya nani ataweza????mimi ni mzuri wa kawaida tuu, na najua kupika kiasi na usafi ndio usiseme na nimetulia nafanya mambo yangu lakini bado muoaji hakuna sometime majungu ya watu wanaokuzunguka ndio husababisha yote hayo, I think wakaka wanatakiwa kufigureout themself sio kusikiliza maneno ya watu kazi kwenu wakina kaka

Anonymous said...

lakini unajua nini TK mi nahisi huyu Ri bado ni utoto tu unamsumbua halafu mi nikiangalia si mzuri kiivyo tena ashukuru ana pesa otherwise hata wewe mdogo wangu hakukuti, halafu hata siku moja ne-yo alikuwa anahojiwa UK wakawa wanamuuliza kuhusu yeye RiRi na brown akasema ingawa wanagombana lakini wanapendana, nahisi ajiamini vile vile halafu anaonekana sasa nyingine ana wivu usiokuwa wa maana, kwa sababu hata ule ugomvi wao na chris ni mambo ya wivu na kama unavyojua hao wenzetu na hasira zao za kurusha vitu, labda anarusha sana vitu, naomba na wewe mdogo wangu usije ukaiga hizo hasira zao mtamaliza vitu ndani muachie mumeo maana wenyewe asili yao kurusha vitu .....kwa kifupi ri ni wa kawaida mno si mzuri kiiivyooo...yeye awe makini atapata mpenzi na apunguze hasira na wivu

Anonymous said...

Nimeipenda sana hii topic, wasichana wengi wazuri huwa na jeuri sana, nafikiri uzuri wao unawadanganya. Hata kama msichana ni mzuri vipi inabidi aonyeshe heshima kwa bwana ake vinginevyo wanaume watakuwa wanajidai wanampenda tu ili avue chupi na wakishapita hawarudi. Pia msichana lazima ujiamini hata kama wewe ni mzuri au sio mzuri, huyu Ri tatizo lake kubwa ni CONFIDENCE, wanaume wengi wanapenda wanawake wenye confidence lakini isizidi sana na kuwa dharau kwa wanaume!

Anonymous said...

some beautiful women tend to know they are beautiful so the attitude au maringo goes through the roof... they think they know they can get anybody they want... tend to treat men like shit..sometimes

some beautiful women get overwelmed with men attention that whenever the dont have it they crave it..dio maana wanakuwa na wanaume wengi...

and some men just are not confidence with a beautiful strong woman PERIOD.....

Anonymous said...

Najisemea mwennyewe,kweli mungu kaniumba vzr, kila kitu allah kanijalia kidogo kidogo,Tabia yangu kweli namshukuru mungu ni nzuri sana,sema si muongeaji basi watu wanasema naringa,na siwezi kumzowea mtu haraka.Sasa tabu kwa hawa kaka zetu si unajua wa sikuizi wanaanza kwa tafadhali wakishapewa wanasepa.kweli sijapata mume wa kuniowa,na piga job najitimizia mahitaji yangu mwenyewe naendelea na maisha, wanaume wanawaambia rafiki zangu duh yani huyu dada ninataka avue nguo tu nimuone shepu yake ikoje

Total Knockout Search!!

Custom Search