Ukisikia wakati, Africa huu ndio wakati wetu mdau. Kwa kipindi kifupi tumekuwa tukishuhudia vitu vingi vyikitokea kimaendeleo. Sasa hivi tumeweza kuona ushirikiano wa wana magharibi na Africa unavyoanza kujengeka bande zote, ki'siasa, kibiachara, burudani n.k.
Now check out this video ya wimbo"Chaise Electrique", uliopigwa na msanii wa ki'Congo Fally Ipupa kama unakumbuka jamaa alikuwa akiimba na Koffi Olomide... kwenye wimbo huu amefanikiwa kumshirikisha mwanadada wa G-Unit Olivia na hata kumfanya aimbe a lil' a bit of lingala. ha ha ha ha lol!
I can't wait to see Ray C do a collabo na Jay Z. Yay!!!
Happy Thanksgiving!!!
8 maoni / comments:
UNFUCKINBELIEVABLE!!!! I LOVE THAT JOINT I AM NEXT WITH ALICIA KEYS.
kweli Teddy Africa tutafika tu,Alafu i heard a rumous that ni wapenzi,do u have any clue?
Mdau Stockholm.
"do you feeling now baby....yes baby..."LOOOL!!Wot a cute couple,
This cud be Knockout fiReel Digg.
haki ya walahhi hii kitu ni safi sana yani wamenogaa hadi basi na wamatch kwa sana tuuu
haki ya walahhi hii kitu ni safi sana yani wamenogaa hadi basi na wamatch kwa sana tuuu
They are not a couple Fali ana mdate a nigerian actress called Nadia..
update the gdamn blog
Post a Comment