nimependa hiyo winter beret, umependeza, halafu kumbe mumeo sio mfupi kama tulivyoambiwa na watu flani flani. keep on proving us wrong kwa kweli mwe!!!
Hahhahahaha nimemwona shemeji Cordy mtumeeeeee kumbe kijana hivyo haya bana tupige bakora za macho TK,Wa Tz mnangaa tuu na kakaako Hashem nawapa shamoooo
Nilijua tu kuna mtu atakayebondea, hivi kwa nini watu wanakuwa na roho ya kwa nini? wee kama umedoda kivyako, usimmind tk jamani mwacheni mtoto wa mwanamke mwenzenu!! loh..hatunywi maji tukapumua saa zote mwananga watu tu!!! pumbavu wee anon wa November 9, 2009 6:01 PM, umetumwa?? unalipwa sh ngapi? au utapewa kadi ya bure kwenda kwenye harusi? utakuwa huna hela ya mchango..mnyooo!!!!
Tk use Jaydee Songs achana nao wasilolijua ni kam usiku wa Giza Winky Diva use dis Haters Make You Famous"Ntakununulia dis tshirt ntamuuliza Jokate na Loveness love "Diva" walibuy wapi hii HATERS MAKES ME FAMOUS"Upo siku hazigandi jiburudishe na song la Jideeeeee
"Wanasemasemasemasema saaaaaaaaaanaaa Yote Mliosema,yote mliotenda nasahau nasonga Mbele Mangapi Yamesemwa Mangapi nimeona..uhh Mliosema aah Nasonga mbele kwani Siku hizi Hazigandi yamesemwa Mangapi... Sijali Maneno yenu kwani kuna hata vigazeti Sijali fikra zenu hazifanani na ukweli Ni Potofu Fikra Zenu Msokaa Kufanya Yenu Kunijua sana Undani Siwapi tena Nafasi Oh Siku Hazigandi Hata Mseme Mangapi kila Mtu ana dhambi hakuna aliemsafi.. Hata niliowategemea leo hii Mmmenigeuka Hata niliowaheshimu leo hii mnanihukumu (Dongo) Mmesema sana Jamani hamchoki heeeeeeeee
duh kuna watu wa vijibaa, mtu akipendeza asiifiwe?? watu wamesahau methali ya "chema chajiuza kibaya chajitembeza"
halafu mi mmbeyaa hahaha nimegundua huandiki jina lako kifupi hahaha unaandika kirefu eeh? kuna mtu fudenke nae kacopy style yako ya kujifupisha hahahaha atatoa sababu watu wenye sir name za k huwa wanajifupisha coz its sounds good
ila huyo msamehe saba mara sabini najua chuki haiwezi isha kirahisi kwa kweli !!
TK uko juu they just hate how much they love n feeeeeeeeeeel u...go girl we ni mzuri n no one can take that from u masnichi achan nao hawana jipya u rock my worl...!cheers
hahahaah nyie Team Vimbwisi mlie tu nyie na huyo kiongozi wenu ndo mnashinda mkijiandikia comments wenyewe..Humu tupo sie wakumuandikia tk comments yamewashinda huko mnatuingilia huku MKOME!
16 maoni / comments:
nimependa hiyo winter beret, umependeza, halafu kumbe mumeo sio mfupi kama tulivyoambiwa na watu flani flani.
keep on proving us wrong kwa kweli mwe!!!
TK U LOOK GREAT AM LOVIN THE LOOK...,HAPPY BDAY DEO...,
U luk gud Diva dat complexion of yaz!Ur killing me Mamaaaa Cordinino
Hahhahahaha nimemwona shemeji Cordy mtumeeeeee kumbe kijana hivyo haya bana tupige bakora za macho TK,Wa Tz mnangaa tuu na kakaako Hashem nawapa shamoooo
si mchezo!TK u look good dear
Hah? DEO ndio nini sijaalika? NIMEMIND!
This is nice Teddy! Am sure u guys had a blast.Asante kwa ukarimu wako,wish I was there to celebrate it too. Happy B'day Bro!
t.k acha ujinga..izi comments zote ni zako biatch.style up.unajisifia mwenyewe?hahahah..kweli umedoda
Ha ha ha ha lol!...I thought the same thing! It's amazing to have people who are feeling me! They bless me anywhere!!
The good thing is that I'm professional, I know the Blog rules. Pole anonymous, you sound sad.
It's unbelievable huh!?..hahaha that's what I thought!lol
-Teddy
Nilijua tu kuna mtu atakayebondea, hivi kwa nini watu wanakuwa na roho ya kwa nini? wee kama umedoda kivyako, usimmind tk jamani mwacheni mtoto wa mwanamke mwenzenu!! loh..hatunywi maji tukapumua saa zote mwananga watu tu!!! pumbavu wee anon wa November 9, 2009 6:01 PM, umetumwa?? unalipwa sh ngapi? au utapewa kadi ya bure kwenda kwenye harusi? utakuwa huna hela ya mchango..mnyooo!!!!
Tk use Jaydee Songs achana nao wasilolijua ni kam usiku wa Giza Winky Diva use dis Haters Make You Famous"Ntakununulia dis tshirt ntamuuliza Jokate na Loveness love "Diva" walibuy wapi hii HATERS MAKES ME FAMOUS"Upo siku hazigandi jiburudishe na song la Jideeeeee
"Wanasemasemasemasema saaaaaaaaaanaaa
Yote Mliosema,yote mliotenda
nasahau nasonga Mbele Mangapi Yamesemwa
Mangapi nimeona..uhh Mliosema aah
Nasonga mbele kwani Siku hizi Hazigandi yamesemwa Mangapi...
Sijali Maneno yenu kwani kuna hata vigazeti
Sijali fikra zenu hazifanani na ukweli
Ni Potofu Fikra Zenu Msokaa Kufanya Yenu
Kunijua sana Undani Siwapi tena Nafasi
Oh Siku Hazigandi
Hata Mseme Mangapi kila Mtu ana dhambi hakuna aliemsafi..
Hata niliowategemea leo hii Mmmenigeuka
Hata niliowaheshimu leo hii mnanihukumu
(Dongo)
Mmesema sana Jamani
hamchoki
heeeeeeeee
duh kuna watu wa vijibaa,
mtu akipendeza asiifiwe??
watu wamesahau methali ya "chema chajiuza kibaya chajitembeza"
halafu mi mmbeyaa hahaha
nimegundua huandiki jina lako kifupi hahaha unaandika kirefu eeh?
kuna mtu fudenke nae kacopy style yako ya kujifupisha hahahaha
atatoa sababu watu wenye sir name za k huwa wanajifupisha coz its sounds good
ila huyo msamehe saba mara sabini najua chuki haiwezi isha kirahisi kwa kweli !!
TK uko juu they just hate how much they love n feeeeeeeeeeel u...go girl we ni mzuri n no one can take that from u masnichi achan nao hawana jipya u rock my worl...!cheers
Mijitu mingine misenge ucwe una rusha kometi zao tumechoka kuzisoma
much love tk
hahahaah nyie Team Vimbwisi mlie tu nyie na huyo kiongozi wenu ndo mnashinda mkijiandikia comments wenyewe..Humu tupo sie wakumuandikia tk comments yamewashinda huko mnatuingilia huku MKOME!
TK you really look good together with your hubby(mnapendezeana kusema ukweli) without forgeting Hasheem Thabeet.Mpo juu!!!God bless.
Post a Comment